Tsvangirai Sworn In As New Zim PM

Ngoja tuone kama kuna political will kwenye hiyo closed deal, manake Mgabe ni mbishi, jeuri sana so laweza kuwa changa la macho...lakini anyway, wanaweza wakafuata mfano wa kenya!
 
Just to make life easy for you......here is the story!

Zimbabwe's opposition leader Morgan Tsvangirai has become prime minister in a deal with his rival Robert Mugabe to try and save the nation.

The two agreed to share power last year after elections that were condemned around the world.

But their mistrust and continued disagreements delayed dual control and raised questions over how well the rivals will be able to work together.

Implementation of the power-sharing deal only came after increased pressure from southern African countries who feared a total meltdown in once-prosperous Zimbabwe.

Mr Mugabe, in power since the country's independence from Britain in 1980, is one of Africa's craftiest political operators.

Mr Tsvangirai is a former trade union leader known for fiery speeches but his leadership skills in government remain untested.

Zimbabweans hope the new government will bring policies to revive a country suffering hyper-inflation, unemployment above 90%, food shortages and a cholera epidemic that has killed nearly 3,500 people.

Transforming the troubled nation will require a massive injection of foreign aid but Britain, potentially one of the largest donors, has indicated it will not send funding until there are signs of progress.

Sky's Africa correspondent Emma Hurd said: "Some believe this is history being made, others believe it is an historic mistake.

"It's not entirely clear how it's going to work. Robert Mugabe will keep most of his executive powers and, while Mr Tsvangirai will oversee some of the ministries, he will not control all of them."

The 84-year-old president will retain significant control over the security forces - the key instruments of his oppressive rule, said Hurd.

She added: "There is huge concern this is a mistake by Morgan Tsvangirai. He has been beaten, imprisoned and accused of treason.

"He believes he cannot beat Mugabe from outside anymore.

"But there is a danger he is promising change - and people are desperate for change - but he simply may not be able to deliver."

Mr Tsvangirai has said the power-sharing deal is a transitional arrangement until new elections can be held.
 
mugabe anaweza kuwa sio mbishi, lakini tuangalie na upande wa pili kwa nini hao jamaa wa UK, USA wana msupport sana Morgan, na ukae ukijua hawa jamaa hawana marafiki wala maaduhi wa kudumu
tatizo la dunia sasa ina kiongozi mmoja tu USA, yeye habari anazotupa tunazipokea kama zilivyo bila kuchuja wala kufikiria, akishasema Mugabe ni mbaya bila kujaji chochote dunia nzima inakubaliana na hilo
tuwe makini
 
Kuingia madarakani kwa Obama nadhani kulimfanya Tsavangerai afikirie mara mbili mbili, nadhani alihisi jinsi Obama atakavyo deal na ishu ya Zimbabwe huenda isiwe sawa na jinsi Bushi alivyokuwa akideal nayo, kwa hivyo machale yakamcheza,akawa katika dilemma ya "you either take a deal or you leave it"
 
mugabe anaweza kuwa sio mbishi, lakini tuangalie na upande wa pili kwa nini hao jamaa wa UK, USA wana msupport sana Morgan, na ukae ukijua hawa jamaa hawana marafiki wala maaduhi wa kudumu
tatizo la dunia sasa ina kiongozi mmoja tu USA, yeye habari anazotupa tunazipokea kama zilivyo bila kuchuja wala kufikiria, akishasema Mugabe ni mbaya bila kujaji chochote dunia nzima inakubaliana na hilo
tuwe makini

Mkuu Kituko, tupo pamoja kabisa. Lakini binafsi nadhani Zimbabwe ikubali tuu hawa jamaa UK na USA wadicted termz watakavyo mambo yabadilike maisha yaboreke kidogo kwa wazimbabwe. Thereafter wazimbabwe wakiwa na afya nzuri wajipange kuwatoa tena hao jamaa na kusimama upya kama watakuwa na nguvu otherwise wawaacha kama wataona ni vema kutawaliwa. Nasema haya kutokana na uchungu kwa hawa jamaa zetu maisha yao yamekaa vibaya kabisa. Ukiangalia uchumi ndio du is beyond economic theories. Kisiwa cha Mayotte kama sikosea mpaka leo kinatawaliwa na Ufaransa na raia wanamaisha mazuri tu.
 
Back
Top Bottom