Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
19bn? Ni hasara ya muda gani, 1yr, 2yrs or what?
Nadhani itakuwa ni mkopo wameshindwa kulipa.....kuuza makaratasi yasiyo na demand kwa 19bn is not a joke!
19bn? Ni hasara ya muda gani, 1yr, 2yrs or what?
Ni taasisi zipi za serikali zinazopata faida? _
19bn? Ni hasara ya muda gani, 1yr, 2yrs or what?
TSN ni ya serikali au CCM
nadhani wanafanya kazi kwa maslahi ya CCM kumbe wanatumia kodi zetu
inafaa wanyongwe kabisa kujieleza haitoshi
hivi kwanini tusiazime sheria za china? hawa watu they dont deserve to live kwa sasa
nadhani hapa Zito tunamba uhakikishe kunakuwa na uwajibikaji tena wa mara moja
sio ule wa kubembelezana
Sio hasara. Ni matumizi mabaya ya thamani hiyo. Ni hoja za jumla ya miaka 4. Shirika linapata faida. Isipokuwa faida ingekuwa kubwa sana Kama lingekuwa linaendeshwa vizuri na kufuata misingi ya corporate governance. Shirika hili sio la kuangaliwa, ni la kufumua kabisa. Ndio maana tumewaita Dodoma wajumbe wote wa Bodi, Wizara ya Fedha na Wizara ya Habari. TSN linaendeshwa Kama kijiwe cha watu Fulani.
Tutalisafisha
...mtaani kwetu kuna mzee mwenye umri takribani miaka 85,alikataa kufungiwa vigwangala(vitumbua)kwenye gaziti la Habari Leo kisa lilikuwa na picha ya Dhaifu...