TSN vs Athumani Hamisi

kuna jambo linaendelea behind the scenes na hawa jamaa naona watamwaga very soon

rebuttal inatisha lakini why go this far?

jamaa kawakosea nini?
 
Huyu Mhariri amekurupuka ,Hamisi hajakataa kuwa alihudumiwa story ndefuu huko nyuma,:aina ulazima ku bold gharama,ni haki yake kama mwajiriwa wenu,hata wewe mhariri inaweza kukutokea!yeye madai yake kwa sasa mnaelekea mmemchoka na mnamtosa hata usafiri kwenda hospitali,nyumba na mshahara!!ungeanzia hapo kujibu tuhuma!!ama la ungeenda mbali na kusema mmejadili nini huko TSN kuhusu hatma yake,na sheria ya kazi inasemaje!period!yalioandikwa ni upuuzi mtupu,jibu hoja!!
 
Alisema TSN wamemtupa, hata Gari la kwenda hospitali akiomba wanamwambia kuna Magari Mawili Moja bovu; kwahiyo Marafiki ndio wanamsaidia.

Alisema pia Nyumba anayokaa, TSN imeacha kulipa Muda Mrefu na Ameomba Mpaka Ijumaa kuwapa Jibu la lini atwalipa hiyo Kodi ya Nyumba.

* Kwahiyo TSN walipaswa wajipu wako wapi Mda wote huo???
 
mbali na yote hayo kuna issue ya muhimu ya kutafakari hapa je nini nafasi ya mifuko yetu ya social security katika hili? Tulitarajia wabuni mafao kusaidia wanachama katika hili na sio kucheza na michango yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom