Tshirt pamoja na kofia za kijani zinawatesa hawaaaa lol

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
Jamani kofia na tshirt za kimanjano na kijani zinatesa
wanfuasi wakeee!! Wakitoka hapa kila mtu sahani ya ubwabwa baaas

ccm ooooyeee.jpg

Asichoke mchezo af hizo nguo nyeusi ni uniform za chama gani?
Au ni mlinzi binafsi?????????????????? Hahahaha kidumu

Zidumu fikra za......................................

huyo aliokaa mbele mbona kama kachoka sana anaweza kweli kupambana na magaidi

pumbaf kabisa.

NANI HUYO PUMBAF? KAMA NI HAWA WALONYOSHA MIGUU KAMA WANASUBIRI KUCHANJWA CHALE MWEMBECHAI KWA YULE BABU SAWA! KAMA NI MIE UMENTUKANA MWENYEWE! KWANI SIJAKUTUMA UWE KWENYE CHAMA CHA YEBO LOOL

Jamani kofia na tshirt za kimanjano na kijani zinatesa

wanfuasi wakeee!! Wakitoka hapa kila mtu sahani ya ubwabwa baaas

wewe una akili sana.mia.

Back
Top Bottom