Tsere balozi mpya Malawi (Mpinzani wa Dr.Slaa)

Uzuri wa ubalozi ni kwamba itampa nafasi nzuri kukuza CV hadi hiyo 2015 then tutaona ataingia wapi.
 
Whaaaaaat? Sasa JK hayuko serious...wadau hebu mwenye CV ya huyu mkuu atupe.Ambassador?

I really get pissed off everytime I see people asking for CVs of nominees etc. CV iliyosheheni haijengi nchi wala ndani ya CV hakuna qualification ya Uzalendo! Nilidhani watu watatanguliza kudai mtu kama Tsere ameifanyia nini Ilala ama nchi kwa ujumla wakati akiwa Mkuu wa Wilaya na katika nyadhifa zingine alizowahi kushika na si kuulizia CV yake. Kipimo cha Uzalendo mbele, CV iwe secondary.
 
Nono it seems hujui how the system is,practically ukuu wa wilaya na mkoa in this country umebaki kuwa position zisizowasaidia wananchi wa wilaya au mkoa husika since they are not put in power na wananchi.Wanateuliwa na Rais to do wat he wants!kwenye balozi thats where real issues are n dont b fooled kuwa hawahitajiki watu walio makini huko,tatizo kubwa tu kwenye kipindi hiki cha uongozi fadhila ndio sababu ya kuteuliwa na sio uwezo.Jk is nat serious

Ni sahihi kabisa kuwa hawa jamaa [ Kikwete na team yake] criterion wanayotumia kupeana vyeo sio merit bali patronage[ fadhila]; na hii nitaidhihilisha kwa mifano hai!! Sehemu yeyote ile ambayo wanamtandao waligarahazwa kwenye uchaguzi uliopita watu wao walioshindwa walipatiwa vyeo vya fadhila; kwanza yule Kangoye aliyeshindwa kule Tarime akaukwaa uDC, Mwakipesile aliposhindwa kule Kyela akapewa uRC na Tsere alipobwagwa na Dr. Slaa kule Karatu akaambulia uDC ambako hakufanya vizuri na badala yake sasa amepewa ubalozi!! Ajabu yenyewe ni kwamba kuna balozi nyingi huko nje hazijajazwa kama vile South Afica na Sweden; inaelekea watu wakuwafadhili bado hawajapatikana nini?
 
Mkuu nashukuru sana.Hiki ndicho nilichokitaka

Mimi sijamuongelea huyu mkulu kwa mabaya ila nilikua concern na suala la CV yake na hasa kitaaluma.

Ndiyo maana nikashangaa kama ni uku wa wilaya tu uliompeleka huko Malawi.so hizo post ni relevant coz hakuna mantiki ya kuwa na balozi asiyeweza kubeba au kuongoza mission yetu nje,vinginevyo hata huo ubalozi hauna maana.

Nashukuru sana ila ili kuweka record clear alisomea wapia MA diplomacy?hebu tuwekee katika mtirirko unaofa kama unaweza mkuu.
Respect sana
Tsere amesoma Masters yake ya Diplomasia chuo kikuu cha Westminster Nchini Uingereza. Mtaa wa Regent Street, Dr. Nabil Ayad ndo alikuwa Director wa kitengo cha Diplomasia.Hivyo Patric si mwanasiasa yeye ni msomi na pia mtumishi wa serikali.
 
reading all the comments, i noticed most of them but a few are mere from people with no objective thinking and no vision whatsoever.
i am 100% sure, especially the ben fellow must be a loser out of the whole bunch.there are so many of such characters, sad to admit who because of their failures in life get so much pleasure in condemning others and finding negativity in them.
i know this forum is about speaking out, daring to speak or whatever, but come on guys, atleast have the decency to speak somehing concrete or atleast logically.
yani comments zote za kijinga na kipumbavu, hamna mbele wala nyuma, sasa mlitaka iweje?
most of you think mnamjuuuua JK, pleeeeesee!
advice to all of you is, wake up and get a life.
this is my first time to enter this forum but i think its also my last.
i thought the things discussed would be atleast a bit interlectual.
very sad that we have such people in our country, the first to say something negative, ask them for a solution but they have non. duh kazi ipo!!!!
in conclusion-congrats to Ambassador Tsere(am sure kuna wa uma most of you--POLE) and i believe you will be able to represent tanzania to the best of your ability. may the almighty continue to be with you and bring you even more prosperity!!!
and the rest of you, keep drowning in you grudges!!!

duh .. mkuu taratibu usije tukana tu, naona lugha ya taifa inasumbua!!

Respecto!!
 
Kweli katika wakati huu kuna kazi kubwa sana katika uchaguzi mkuu mwaka huu,
 
naamini kabisa kama mtu aliweza kuwa effective pale AICC (na aling'atuka baada ya kuingia kwenye siasa); basi kazi ya malawi sio ya kutisha kiasi hicho... kwani diplomasia ya pale ni kubwa na aliweza kufanya kazi na the highest profiles in africa/world

kuna wachangiaji wameongelea mambo ya security and the like, kuna policy zilizo wazi na zinazom-guide huyu baba kwenye kazi yake. Pia kuna wale secretaries ambao wana kazi kubwa sana ya kushare taarifa muhimu kabla ya maamuzi

Hivi pale AICC kuna kazi gani hasa? ... yaani kukodisha ukumbi na kuhakikisha kuna usalama ndiyo big deal??!!
 
Hivi pale AICC kuna kazi gani hasa? ... yaani kukodisha ukumbi na kuhakikisha kuna usalama ndiyo big deal??!!
Kuna kazi ya kuratibu mikutano na kujua kama kuna event gani na jinsi gani ya kufanya ili uweze kuwa katika hali nzuri jumba hilo
 
Kuna kazi ya kuratibu mikutano na kujua kama kuna event gani na jinsi gani ya kufanya ili uweze kuwa katika hali nzuri jumba hilo

Event management? Yaani sawa tu na kupanaga sherehe ya harusi na kitchen party. No big deal.
 
Event management? Yaani sawa tu na kupanaga sherehe ya harusi na kitchen party. No big deal.
Ni kweli kwa kiasi fulani ila lazima kuwa na mkuu wa idara katika kitengo hicho maana sio kama wewe unavyofikiria mzee wangu
 
Back
Top Bottom