TSD kufutwa na majukumu yake kukabidhiwa kwa wakurugenzi

chakachuaz

Member
Jun 20, 2012
13
0
kUNA UVUMI KUWA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU INAFUTWA NA MAJUKU YAKE KUABIDHIWA KWA WAKURUGENZI JAMAN WADAU MWENYE TAARIFA KAMILI ATUJUZE
 
Siafiki tsd kufutwa, hiyo yote inatokana na serikali kugundua kuwa tsd ndiyo dira ya walimu kujua haki zao za msingi. kwani wakurugenzi wao huhimiza wajibu tu na pia wanapokea amri toka juu kwakuwa wamepewa nafasi hizo kwa maslahi ya waliowapa ulaji huo.
kUNA UVUMI KUWA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU INAFUTWA NA MAJUKU YAKE KUABIDHIWA KWA WAKURUGENZI JAMAN WADAU MWENYE TAARIFA KAMILI ATUJUZE
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Mbona kama nilisikia kwamba wanaunda chombo fulani hivi kama professional body ya waalimu.
 
tsd nacho kinahitaji marekebisho makubwa kwa uzembe wa wafanyakazi wake kimekuwa ndo chanzo cha matatizo kama ya walimu kucheleweshewa kupandishwa Madaraja, upatikanaji wa tsd namba nao ni mzozo! Barua za kuthibitishwa kazini hazipatikani kwa wakati yaani hichi chombo hakimsaiidiii mwalimu hata kidogo! Tsd wanatakiwa watoe elimu ya sheria na haki za mfanyakazi lakini ukienda maofisini hazipo na hata zikiwepo lazima upigwe dana dana! Yaani ni bora kiboreshwe au kivunjwe baadhi ya majukumu yapelekwe kwe mkurugenzi na iundwe board ya waalimu ambayo itaidhinsha walimu iwe ka nbaa, crb,tls, bodi ya wanaataluma hiyo board ifanyie kazi kiwango cha walimu, mikataba ya walimu, haki zao na mashirika ya pensheni, suala la kujiendeleza kielimu pamoja na workshop za kutosha


suala lingine ni idara ya ukaguzi nayo si bora ifutwe tu?
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Back
Top Bottom