TRY TO FOCUS:Macho yako hayana matatizo?

Mudhyd

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
492
507
Hebu jaribu kutizama picha hii alafu ujue kama macho yako yana matatizo au ni illusion tu!!!
mud hyd pic101.jpg
 
naona sura 2, ila ya pili ni tofauti na ya kwanza coz ya pili au ya chini ina ndevu, na hii ni kwa sababu sura ya 1 na ya 2 zimeunganika kwenye uso mmoja..
 
naona sura 2, ila ya pili ni tofauti na ya kwanza coz ya pili au ya chini ina ndevu, na hii ni kwa sababu sura ya 1 na ya 2 zimeunganika kwenye uso mmoja..
kiasi flani umejitahidi kutazama
 
Back
Top Bottom