Try Gmail SMS today and start texting your friends from your computer...(for free!!)

Michael Paul

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
403
319
Wakuu kama wewe ni mteja wa tigo au/na vodacom then now unaweza kutuma SMS from your Gmail accout for free... for more info you can checkout this link Google
 
Thanks kwa kunifahamisha hilo, nimejaribu kutuma nimeona kama zimebaki sms 50, ina maana kila siku unapewa sms 50 au zikiisha unalipia?
 
Thanks kwa kunifahamisha hilo, nimejaribu kutuma nimeona kama zimebaki sms 50, ina maana kila siku unapewa sms 50 au zikiisha unalipia?
<br />
<br />

Mtu akireply unapata zingine tano... Kwa hiyo co rahisi hizo hamsini ziishe...
Enjoy...
 
Back
Top Bottom