trust me, nilipata ushauri humu JF nikathubutu, nikaweza na nitarudia tena....

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...akiyanani kubana pumzi wakati wa tendo inasaidia kuchelewa kuona kilele!!!imetokea leo!!
baada ya ushauri nilioupata humu JF
najua tuko wengi tunaoumwa, zamu yako kajaribu na ww
asanteni saaana wana familia ya JF!!
 
Hebu ni kumbushe kaka angu, kubana pumzi ipi? ya huku au ya huku?

........Ana kitu kitamu, tupe nasisi tuonje ...............
 
Kipofu kaona mwezi! ulikumbuka kutumia condom lakini?
 
ahaaaaaaaaa hahaaaaaa!!!..ona sasa umenifanya nikacheka kitandale!!!
hebu onesha umeshika wap wakat unasema ya huku au ya huku, naweza kukusaidia zaidi...
iyo hapo chini ni signature au ndio umenijibu TEC...

Hebu ni kumbushe kaka angu, kubana pumzi ipi? ya huku au ya huku?

........Ana kitu kitamu, tupe nasisi tuonje ...............
 
Ni tatizo la wengi ila hawalikubali
na mkuu umetoka kufanya mambo mchana huu
Maana story yako kama ni kwamba umeenda kufanya now ndo ukaja na majibu
hapana mkuu...kama unakumbuka niliwahi kuwaletea uzi wa A good mornimg SEX is Healthy...so nilitupia asubuhi, sema sikuweza kuwaletea majibu mapema,..um so sorry such a late report!!
 
ahaaaaaaaaa hahaaaaaa!!!..ona sasa umenifanya nikacheka kitandale!!!
hebu onesha umeshika wap wakat unasema ya huku au ya huku, naweza kukusaidia zaidi...
iyo hapo chini ni signature au ndio umenijibu TEC...

hayo ni majibu ya signature yako, kuhusu pumzi nilikuwa naulizia pumzi ya juu au ya chini. yaani huku au huku

Vipi hicho kindu chenona ni cha huyo ulo chinja leo au?.
 
...akiyanani kubana pumzi wakati wa tendo inasaidia kuchelewa kuona kilele!!!imetokea leo!!
baada ya ushauri nilioupata humu JF
najua tuko wengi tunaoumwa, zamu yako kajaribu na ww
asanteni saaana wana familia ya JF!!

Naona leo umesafisha nyota mkuu, hongera sana I hope hukusahau dawa ya penzi.
 
Kubana pumzi unachelewa kuona kilele, naona hii kali....Unataka kuwafikisha watu mapema makaburini nini .
 
Back
Top Bottom