Trust Again in a Man.

wifi si ulisema mmeachana,tutakubaliana kwa amani,sasa haya yanatokea wapi?

wifi unaujua uchungu wa mme wewe!! Yaani nikuachie tu hivi hivi.
Na sahivi ngoja niongeze malavidavi maana competition ishakuwa kubwa.
 
Mtakuja nazo huko huko....kwanza jumamosi ni mnada Tengeru..hahahaha aa tunaanzia pale kwanza kwa nyama za wamasai lol km una kinyaa inakula kwako

chaaa wifi unamsikia huyu eti za mnada?? Amy alivyokuwa cutie sasa hivi anapauka
 
chaaa wifi unamsikia huyu eti za mnada?? Amy alivyokuwa cutie sasa hivi anapauka
Kama ni hivyo mwambie asije lol. Khaaa anatuonaje tule nyama za mnadani? Kwanza sie twaja jpili, kwani soko la Tengeru ni jpili wifi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom