CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
<br />
<br />
haina haja ya kuweka bifu.
Kwani hilo ni bifu?
Nikujaribu tu kumkumbusha ili awe na respt KWA KILA MTU ( starting from the newborn to the eldery people)
Ni vizuri kumheshimu kila mtu lakini usimwogope YEYOTE!
Halafu kuna waalimu huwa wanajiona kuwa wao nd'o wao eti kisa wanakufundisha, kusingekuwa kunatokea ma_Professor basi! Kama ingekuwa mwalimu (namaanisha lowel level schools) nd'o anaelewa kila kitu wanafunzi wasingekuwa wanafaulu na kuwa ktk level iliyo juu yao!
RESPECT!!!!!!!!!!!!!!