True Story: Rais wa Czech Republic aiba Pen Chile

Huyu sijui wananchi wake watamwelewa vipi, inaonyesha udokozi nitaba yake toka utoto hawezi kuacha
 
Hiyo video ni ya ukweli au ndy yale mambo yetu yalee! maana hapo anaonekana amedhamiria kabisha kuiba, swali ni je-Ina maana hana uwezo wa kununua pen kama hiyo?
 
Dah! kumbe ni kweli bana! Nina wasiwasi na shemeji yetu, huenda na yeye huwa anapiga finga wanampotezeya tu!
 
stooop!!

Prezdar wa czech hajaiba, angalia pen imewekwa kwa ajili yake mbele, na hata mwenzake pia kawekewa yake kwenye kibox chake.

Kama pen ni yako na umewekewe wewe, ukiichukua na kuiweka kwenye mfuko kuna ubaya gani?
 
Kama ni kweli jamaa kaiiba , bora angeicha mkononi na kujifanya ameisahau na kuondoka nayo.

Unajua wizi ni ugonjwa kama magonjwa mengine, mwizi akikosa cha kuiba hua anaweka hata shati lake, harafu baadae analinyatia na kuliiba ili atulize moyo.
 
stooop!!

Prezdar wa czech hajaiba, angalia pen imewekwa kwa ajili yake mbele, na hata mwenzake pia kawekewa yake kwenye kibox chake.

Kama pen ni yako na umewekewe wewe, ukiichukua na kuiweka kwenye mfuko kuna ubaya gani?
Kwani ile pen aliwekewa nani? Yeye kaiangalia kaipenda kaamua kuiifadhi kwa matumizi yake ya nchini kwake!
Mh hawa wenzetu kukuza mambo hawajambo!
 
Acheni Ku-panick..its soo obvious kama jamaa alikuwa anatania..huoni kabisa aniachungulia Kamera... IT was a joke!! Yani waTanzania hamna hata sense of humour?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom