Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
Ni kwel mapenz hayana formula na huwez jua lini na wapi utafall in love na kwa nani,lakin sasa ni namna mtu ufanye ili kuhakikisha unampata mwenza sahihi,kwenu wana JF
hujambo Jerry?
Mwenza sahihi anakuja kwa muda sahihi, usiharakishe mambo.
siyo kuharakisha lengo langu kuelewa tu,umenipata hapo?
nimemaanisha kuwa ukiwa kwenye mahusiano nenda nayo taratibu ukiwa unamsoma mwenzio.
Kwa binadamu huwezi jihakikishia asilimia mia kuwa huyu ndiye sahihi sababu huwezi jua yeye yuko na wewe kwa nia gani.
Wewe unaweza kuwa naye kwa upendo asilimia mia kumbe mwenzio kna kitu anataka, akishapata basi anaondoka.
unaganisha na ile nyingine mkuu!!
ikitokea hvyo xaxa mtu afanyeje?
xaxa..!!?
Upo form ngapi Jerry! Hwz TOM.?
jiamini ishi maisha yako fanya kazi kwa bidii muombe Mungu sana amini iko siku yatanyooka.
BTW, majaribu/misukosuko maishani ayawezi kuisha.
hujambo jerry? nipe shkamoo yangu kwanza kabla sijamwaga nyanga za kufa mtu hapa. useme kabisa shikamoo mama.
cku zote kumsaidia mtu co mpaka usalimiwe,if u wish we mwaga nyanga zako
kumbe jeuri eeh! basi sisemi manake dawa ya jeuri ni kiburi.
kwa wajanja tumesha soma ukoje so hatuwez kupoteza muda hapa tena.
Lolest..
kumbe jeuri eeh! basi sisemi manake dawa ya jeuri ni kiburi.
kwa wajanja tumesha soma ukoje so hatuwez kupoteza muda hapa tena.