Tru love come once in a life time!!

Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!

inakuwaje kama hatunaye tena duniani au kama naye nahisi true love kwa someelse but not you?

Hivi true love ni nini? naomba darasa waheshimiwa!

kwa kifupi true love ni kuzoea na mtu wa jinsi tofauti na wewe kuliko mtu mwingine yeyote ambaye anaweza kufanya nawe tendo la ndoa hata pale mtakapokuwa hamjaoana. It can be more than that.
 
fafanua nilichoandika..

nikiamka ntakusaidia ku fafanua vizuri ...
wapumzishe hao watu kwanza..
asante

Nakusubiria hapa hapa uje kufafanua, majamaa watapumzishwa likizo ya krismass, hao wanalipwa na IMF kushangilia mapost yangu ujue.
 
kwa kifupi true love ni kuzoea na mtu wa jinsi tofauti na wewe kuliko mtu mwingine yeyote ambaye anaweza kufanya nawe tendo la ndoa hata pale mtakapokuwa hamjaoana. It can be more than that.[/QUOTE]

nimekupata FA, suala la nyongeza, je ni lazima iwe two way love? au hata mmoja akijenga hayo mazowea na mwenziwe akapotezea itaitwa true love?
 
@ Klorokwini

tru love huanza..... na anayeanza ni mmoja. Inawezekana kabisa kuwa upande wa pili ukajua lakini ukawa hauna uhakika (hasa upande 'ke'). The latter husubiri hapa usikie paaaaa....
 
@ Klorokwini

tru love huanza..... na anayeanza ni mmoja. Inawezekana kabisa kuwa upande wa pili ukajua lakini ukawa hauna uhakika (hasa upande 'ke'). The latter husubiri hadi usikie paaaaa....

.....

nimekupata FA, suala la nyongeza, je ni lazima iwe two way love? au hata mmoja akijenga hayo mazowea na mwenziwe akapotezea itaitwa true love?
 
@ Klorokwini

tru love huanza..... na anayeanza ni mmoja. Inawezekana kabisa kuwa upande wa pili ukajua lakini ukawa hauna uhakika (hasa upande 'ke'). The latter husubiri hapa usikie paaaaa....

FA majibu yako yametulia sana aisee, lakini nahitaji ufafanuzi zaidi kwenye kitu kimoja, Je kama kuna mdada nimehisi niko na true love nae na nikamtokea, kwabahati mbaya yeye akasema hayuko na true love na mimi, (and according to mleta mada kwamba true love ni moja tu). katika mantiki kama hii unakubaliana na mleta mada?, au una msimamo kama wangu kwamba true love can be developed anywhere anytime with skills and timing?
 
Asante sana kaka Klorokwini kwa maswali yako magumu.

Ili kuwe na true love lazima watu wakutane at the first place, kuna ambao watahisi wanapenda au mmoja akahisi anampenda mwingine mara tu wawili hawa wanapokutana.

Hat hivyo kuna ambao inawachukua muda hadi mmoja au wote wawili kuhisi na kujua kuwa wanapendana.

Hata hivyo sio lazima unapompenda mtu kwanza, uiite hiyo true love kama hamjaanza kupendana, na pili sio lazima utapompenda mtu akupende.

Mjumuisho, unapompenda mtu mwambie. Hii ni kwa sababu kubwa mbili (i) ajue ili kama itatokea akaridhishwa na wewe basi muingie mapenzini na (ii) Akikatae ili ujue hana mpango na wewe ili kukutoa katika hali ya sintofahamu. Sintofahamu si nzuri kwa afya yako.

Angalizo: Huwezi kusema una true love kwa/na mtu ambaye hamjaanza kupendana.
 
Kama kawaida yako, jibu lako limenitosheleza sana na ubarikiwe sana FA kwa ufafanuzi mwanana.
 
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!

Eiyer:

I see some truth in what you said above, at least in my life . Maana although I have dated several guys I have had only one true love, and NO I do not think its possible to find and/or love another as much in the near future.
 
I can't aggree more! Mimi huwa nafananisha na maneno ya biblia; true love ni ubavu wako kama ni mwanaume na pale kambavu kako kalipotoka kama ni mwanamke!

The sad thing is; si wote tunabahatika kumeet huyo better half; na wengine we meet when it is too late kwa maana huyo mwenzio tayari ana commitment!

Sikubaliani na wengine kuwa mmoja ndio anaanza; ukimaanisha kutongoza may be; lakini mara nyingi feeling zinakuwa shared; they r inner/ deep feeling ambazo haziwi affected na physical features mf uzuri, urefu, mawigi, natural hair au material thing mf anaendesha hammer or whatever! Ndio utashangaa mtu anapenda jambazi au changu; ambapo ktk hali za kawaida is questionable!

But it is so rare to meet ur soulmate, maybe 20% ndio wanaexperience hii kitu!
 
una miaka mingapi? bado unaamini in true love?
in world of 6 billion ppl...kweli unadhani wewe unaweza kuwa na true love na mtu mmoja tu?
embu safiri kidogo kuzunguka dunia uone bwana! sio unaishi kwenye kidimbwi udhani umeshaona samaki wote.
Kuna maziwa na bahari huko nje...
 
Hivi true love ni nini? naomba darasa waheshimiwa!

Niliisoma mahali na ikanisaidia, natumaini itakupa mwanga kidogo:

Love is both an action and a feeling. The action of love generates a blissful feeling called by the same name. When the action stops, the blissful feeling is replaced with pain. There is a similar feeling called lust which may be confused with love. You need to decipher between the two in order to have a healthy heart. Every person is capable of great love (and its opposite, fear, which generates all painful emotions such as hate, greed and jealousy).

While there are many different ways to define love and there are many different ways to love someone (or even yourself), here is a general guide to loving.

Say it.
When you say the words "I Love You", they should carry with them the desire to show someone that you love them, not what you simply want to feel. When you say it, make sure you really mean it and are willing to do anything for that special person.
Empathize.
Put yourself in someone else's shoes. Rather than impose your own expectations or attempt to control them, to understand how they feel, where they come from, and who they are. Realize how they could also love you back just as well.
Love unconditionally.
If you cannot love another person without attaching stipulations, then it is not love at all, but deep-seated opportunism (one who makes the most of an advantage, often unmindful of others). If your interest is not in the other person as such, but rather in how that person can enhance your experience of life, then it is not unconditional. If you have no intention of improving that person’s life, or allowing that person to be themselves and accepting them as they are, and not who you want them to be, then you are not striving to love them unconditionally.
Expect nothing in return.
That doesn't mean you should allow someone to mistreat or undervalue you. It means that giving love does not guarantee receiving love. Try loving just for the sake of love. Realize that someone may have a different way of showing his or her love for you; do not expect to be loved back in exactly the same way.
Realize it can be lost.
If you realize that you can lose the one you love, then you have a greater appreciation of what you have. Think how lucky you are to have someone to love. Don't make an idol of the person you love. This will place them under undue pressure and will likely result in you losing them.
 
Woote niliopata kuwa nao naona wako sawa tu hakuna cha true wala nanihii, kila mwanamke ktk hao nilokuwa nao ana kitu fulani nakikumbuka. Hiyo mambo ya true love mimi binafsi naona ni illusion/fantasy
 
Asante sana kaka Klorokwini kwa maswali yako magumu.

Ili kuwe na true love lazima watu wakutane at the first place, kuna ambao watahisi wanapenda au mmoja akahisi anampenda mwingine mara tu wawili hawa wanapokutana.

Hat hivyo kuna ambao inawachukua muda hadi mmoja au wote wawili kuhisi na kujua kuwa wanapendana.

Hata hivyo sio lazima unapompenda mtu kwanza, uiite hiyo true love kama hamjaanza kupendana, na pili sio lazima utapompenda mtu akupende.

Mjumuisho, unapompenda mtu mwambie. Hii ni kwa sababu kubwa mbili (i) ajue ili kama itatokea akaridhishwa na wewe basi muingie mapenzini na (ii) Akikatae ili ujue hana mpango na wewe ili kukutoa katika hali ya sintofahamu. Sintofahamu si nzuri kwa afya yako.

Angalizo: Huwezi kusema una true love kwa/na mtu ambaye hamjaanza kupendana.
A true love must posses the following qualities;
1. It must have no reason(s) - anyone who may clearly tell why s/he felt in love is not a true lover....!
2. It must be a double and an equal coincidence of feelings - all the parties involved in love must have the same and equal feelings against each other....!
3. It must be associated with both unlimited and unconditional sacrifices - here is where everyone is found crazy...! no matter what one party did, the other one will always be ready to ignore it unconditionally just to save their love...! everyone is ready to leave his/her relatives and everything of his/her ownership by even undergoing several expenses with no counts to satisfy her.his lover...! all these must be done consciously....!
4. It must be addressed through feelings (body language) and actions - a true love will never be easily explained by words of mouth.... but, unconsciously, a person finds him/herself sending a message to the intended lover and implementing several actions unconditionally...!

Note: Nobody ever provided love to the extent exactly equal to the amount he/she wants....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom