Troy's Last Words Before Execution: Tujifunze nini?

Hapa kwetu mbona akina-Troy wako wengi: yuko yule aliyesingiziwa kubaka watoto wa shule, ushahidi wa watoto mahakani wakasema huwa wanamuona kwenye video, naye akaiambia mahakama kuwa jogoo hapandi mtungi na daktari akathibitisha lakini bado akaonekama ana hatia. Yupo yule aliyetuhumiwa kujinufaisha na ujenzi wa TWIN towers- ushahidi ukaonesha kuwa hakuna alichobadilisha- hakusikilizwa, yuko yule anayetuhumiwa kutumia madaraka vibaya na kujenga jengo la ubalozi nje ya nchi- ushahidi unaonyesha kuwa ilikuwa mipango ya serikali. Nadhani wako wengi wasiojulikana. Ni laana tupu.
 
Back
Top Bottom