Trouble brewing in Nigeria?

Tatizo sio uislam. Mji wa Tafawa Balewa ni eneo la waislaam mbona pia mabom yameripuka. Kumbuka ni muda mrefu CIA wanafanaya hujuma za kuanzisha vita katika nci za Africa Magharibi lakin hawajafanikiwa ajili ya suluhu zinazo fanywa na AU. CIA wanachotaka ni kurudisha nyuma azma ya Africa kuungana na njia pekee ni kufitini ili vita itokee. Nigeria in historia ndefu sana ya fitna hizo.
 
"Why we bombed the City of Kano" – BOKO HARAM
by Jide Ladipo on January 23, 2012

Islamic fundamentalist sect, Boko Haram, has given reasons for its multiple attacks in Kano on Friday. Nearly 200 persons died in the attacks. The group's spokesperson, Abul Qaqa, told journalists in a telephone interview on Sunday, that the group struck the city in order to prove its worth to security agencies and Kano State Government.

The spokesman stated that the security and the Kano State Government refused to heed to its warning that it would attack the state if its members held in custody were not released.

Qaqa further said that the group would not t relent in fighting for the rights of their members, many of whom he said were innocently held. He added that Nigerian government would continue to pay for alleged continued oppression and killing of innocent Muslims in the country.
BEER1.jpg

DEADLY ATTACKS: Boko Harram spokesperson, Abul Qaqa, told journalists in a telephone interview on Sunday, that the group struck the city in order to prove its worth to security agencies and Kano State Government.

He said, "We are only scared of Allah but no one. We must regain our faith and freedom soon. No amount of propaganda against us will deter us. We are guided and strengthen by Allah as you can see."

Boko Haram, whose real name is Jama'atu Ahlisunnah Lidda'awati Wal-Jihad, had in a letter to the Kano State Governor, Dr. Rabi'u Kwankwaso, in August warned that it would attack the city if the State Security Service continued hunting its members.

The letter was also copied to the Emir of Kano, Alhaji Ado Bayero; Wamban Kano, Alhaji Abbas Sunusi; and Dan Masanin Kano, Alhaji Yusuf Sule.

The dreaded group warned in the letter that it would deploy its men in the state and made it worse than Maiduguri if its members held in custody were not released.

The group also stated in the letter that it sent a similar open letter to the late President Umar Yar'adua, security chiefs and the people of Borno State. It stated that the its warning was taken as a joke.

It alleged that its members were unjustly killed in Bauchi, Wudil, Gombe, Yobe and Maiduguri for sticking to the teachings of Quar'an and Hadith.

The letter read in part, "… It have (sic)come our notice that the present Police Commissioner, Director State Security Service and Ward Heads have jointly started arresting our members IN YOUR STATE (KANO) known to you or not, a situation which we will not take lightly by the grace of ALLAH."

SOURCE : PUNCH
 
"Kua uone" ni msemo ambao umekuwa ukitumiwa katika kusisitiza maelekezo ya wakubwa kwa wadogo kwa mambo mahususi ya kimalezi. Sikujua nini maana yake wakati wa ujana wangu, sasa ndo ninajua maana yake. Somalia, enzi za Siadi Barre, iliendekeza rushwa, magendo, fitina na hujuma dhidi ya taifa lao. Waliojitokeza kuonyesha mapungufu haya waliitwa wapinzani,wenye wivu, wasiopenda maendeleo na majina mengine mabaya yanayofanana na hayo. Waliokuwa wananufaika na mapungufu hayo walikuwa na nguvu za kijeshi na kiuchumi. Waliopingana na ujinga huo walikuwa wengi, wenye chuki na hasira nyingi iliyojengeka kwa muda mrefu.
Jeuri ya fedha na nguvu za kijeshi kwa upande mmoja zilipopingana na wanyonge waliokuwa wengi na waliojaa chuki na hasira mapambano yalikuwa makali na kwa hali ilivyo sasa Somalia hakuna mshindi! Wote walishindwa na wanaendelea kushindwa. Hakuna aliye salama.

Kwa muda mrefu tumesikia habari za ufisadi nchini, Nigeria, viongozi wanamiliki mabilioni ya dola za Kimarekani na wakati ule wa akina Dicko walizoa hazina ya Nigeria na kuzipeleka ughabuni. Nchi tajiri wa mafuta, lakini watu wake masikini kupindukia. Kwa kuwa watu wamechoka hali hiyo na hawana njia nyingine yakuepukana uongozi wa aina hiyo, wameanza kuuwana kwa kisingizio cha dini! Watauwana wee, hadi mshindi hatapatikana na taifa litakuwa limefarakana kama Somalia.

Kwa bahati mbaya dalili za mamabo zilivyo hapa Tanzania zinaonyesha mwekeo huo wa Nigeria. Mifano ni mingi lakini nitataja mfano mmoja tu; Waziri Mkuu anahusishwa kwenye kashfa kubwa ya mashine za kufua umeme wa dharura kuepuka kufukuzwa kazi, anaitwa waziri mkuu mstaafu; anapewa mafao ya kustaafu. Leo hii anapita huko na huku asafishwe ili awe rais baadaye. Tunaelekea wapi kama sio kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe? Viongozi wa dini wanakimbizana naye kuomba michango ya ujenzi wa kanisa, huku wakijua kuwa fedha zake ni chafu! Tuna elekea wapi?

Watanzania tusiwe wajinga, Lowasa hasafishiki na tumuogope kuliko kitu chochote. Hata na wapambe wake hawatufai kwa lolote.

Au nyinyi mnasemaje?
 
Hili halina ubishi mkuu; tunaelekea kubaya. NINI KIFANYIKE?
 
Kama unaelewa historia ya Nigeria toka utawala wa Abu bakar Tafawa Balewa kupitia kwa Yakub Gowon hadi Sani Abacha ndiyo utafahamu matatizo ya Naigeria. Wameweza kuvuka fitna kubwa zaidi ya hizi za leo kwa uhakika watamaliza hizi baada ya muda mfupi.

Tanzania hatuwezi kuwa kama Nigeria sababu hata kabla ya uhuru tulimekuwa na religious tolarence. Choko choko kama hizi za sasa zilikuwepo hata wakati wa Mwalimu. Fitna siku zote zimekuwa zikipandikizwa na mataifa ya magharibi wakiwa na lengo la kutugomanisha ili wapate rasilimali zetu. Tukiwa makini na tukiendelea na uhuru wetu wa kuabudu, mambo yataendelea kuwa shwari na tutaweza kupambana na mafisadi.
 
Mmh! Kwani sasa hivi tunagombana? mbona rasilimali zinakwisha?

Swala la kupambana na mafisadi si kwa serikali hii legelege ya JK.
 
Naungana mkono na mtoa hoja kabisa,umasikini unavyozidi kukithiri ndiyo haya malumbano ya kidini,kuvunja muungano na mengineyo ndiyo yanazidi kuwa makubwa zaidi!!Imagine huduma zote za kijamii zingekuwa zinapatikana kama Afya,elimu n.k Miundombinu ya kuaminika,wananchi wana ajira zao na wanapata kipato cha kutosheleza maisha yao angalau kwa basic needs tu huo muda wa kuanza kuchunguzana dini wakati wote mmetokea kijiji cha ndevelwa Tabora yangetokea wapi?
 
Wewe kila jambo lazima ulione kwa matazamo wa kidini, nafikiri dini imeathiri sehemu ya ubongo wako.

msamehe,ameathirika na hicho anachokiamini,inawezekana uwa tunajibizana na jini!!!,ni mtu gani asiyelala?hata usiku wa manane utakuta anajibu post!!
 
Tanzania inaekea nigeria kama wakiristo wataendelea kuona wanahisa 100%

Hata kama "Malaria Sugu" mkipewa 70% bado mtasema hii nchi ni ya kiislam tunaka asilimia 100 na mkipewa hiyo 100 bado mtasema hatutaki kuishi na makafiri,wahamie Uganda.I can't see the limit
 
“Why we bombed the City of Kano” – BOKO HARAM
by Jide Ladipo on January 23, 2012

Islamic fundamentalist sect, Boko Haram, has given reasons for its multiple attacks in Kano on Friday. Nearly 200 persons died in the attacks. The group’s spokesperson, Abul Qaqa, told journalists in a telephone interview on Sunday, that the group struck the city in order to prove its worth to security agencies and Kano State Government.

The spokesman stated that the security and the Kano State Government refused to heed to its warning that it would attack the state if its members held in custody were not released.

Qaqa further said that the group would not t relent in fighting for the rights of their members, many of whom he said were innocently held. He added that Nigerian government would continue to pay for alleged continued oppression and killing of innocent Muslims in the country.
BEER1.jpg

DEADLY ATTACKS: Boko Harram spokesperson, Abul Qaqa, told journalists in a telephone interview on Sunday, that the group struck the city in order to prove its worth to security agencies and Kano State Government.

He said, “We are only scared of Allah but no one. We must regain our faith and freedom soon. No amount of propaganda against us will deter us. We are guided and strengthen by Allah as you can see.”

Boko Haram, whose real name is Jama’atu Ahlisunnah Lidda’awati Wal-Jihad, had in a letter to the Kano State Governor, Dr. Rabi’u Kwankwaso, in August warned that it would attack the city if the State Security Service continued hunting its members.

The letter was also copied to the Emir of Kano, Alhaji Ado Bayero; Wamban Kano, Alhaji Abbas Sunusi; and Dan Masanin Kano, Alhaji Yusuf Sule.

The dreaded group warned in the letter that it would deploy its men in the state and made it worse than Maiduguri if its members held in custody were not released.

The group also stated in the letter that it sent a similar open letter to the late President Umar Yar’adua, security chiefs and the people of Borno State. It stated that the its warning was taken as a joke.

It alleged that its members were unjustly killed in Bauchi, Wudil, Gombe, Yobe and Maiduguri for sticking to the teachings of Quar’an and Hadith.

The letter read in part, “… It have (sic)come our notice that the present Police Commissioner, Director State Security Service and Ward Heads have jointly started arresting our members IN YOUR STATE (KANO) known to you or not, a situation which we will not take lightly by the grace of ALLAH.”

SOURCE : PUNCH

Huyu Allah.wanayemtaja Boko Haram lazima atakua shetani,haiwezekani Mungu mwenye Upendo na Huruma atume watu wakaue wenzao bila sababu za msingi,ni imani ya kishetani kudhani kuwa Mungu anatetewa kwa mtutu wa Bunduki,Mungu anatetewa kwa imani thabiti ya unyoofu wa maisha na kujitoa kwa unywenyekevu,inapofikia mahali watu wanadanganywa tunaua kwa jina la Mungu basi ndugu zangu huyu ni mungu wa kuzimu ,vita vya imani sio vita vya mwili bali ni vita vya rohoni, vita dhidi ya ulimwengu wa giza,mapepepo ,na majini ,uchawi na usihiri,kiburi na kujiinua nafsi,Hakika kila alilolisema mwana wa Adamu kabla ya kuja kwake yanatimia,Hizi ni zama za giza Nigeria ni wakati haswa shetani alioukubali kuwatesa watoto wa Mungu wa kwei kwa jina la Allah,huyu lazima atakua mungu wa kuzimu,mungu nayeua watu wakiwa katika kumtafuta Mungu wa kweli katika nyumba za ibada japo wanamtufauta kwa kupapasa lakini wanamtafuta Bwana wa utukufu,huyu saa yaja amabapo kila aliye mtumishi wa mungu huyu ataona aibu na kuficha usso wake,Ole wa Bahari na Dunia,ni kipindi kigumu kijacho tumaini pekee ni kuweka maisha na kujitoa kwa dhati kwa mwana kondoo wa Mungu aichukuae dhambi ya ulimwengu,huyu ni Yesu Kristo,Masihi wa kweli na Bwana wa Utukufu,vita vyake hakuna wakumshinda,yeuye ameshinda pambano kuu ambalo halitakuwako kamwe katika histori ya hii Dunia huyu ndiye Yesu,,,,Mungu wa kweli ambaye shetani anatetemeka mbele zake na kuhadaa ulimwengu ya kwamba hakufa Msalabani,,,,huyu ndiye nguvu ya ufufuo ujao na uzima wa milele kwa huyu hakuna ku faint,,YESU UTUKUZWE MILLELE MFALME WANGU
 
Hata kama "Malaria Sugu" mkipewa 70% bado mtasema hii nchi ni ya kiislam tunaka asilimia 100 na mkipewa hiyo 100 bado mtasema hatutaki kuishi na makafiri,wahamie Uganda.I can't see the limit

Walioamini huwa hawana kikomo...jiulize kwa nini Somalia, Yemen, Pakistan, Sudan kote huko wanauwana na wako wenyewe tu!
 
Tanzania inaekea nigeria kama wakiristo wataendelea kuona wanahisa 100%

Hata Nigeria walianza hivyo hivyo kwa uroho wa madaraka na kuridhika na ulichonacho.

Sasa, Rais, Makamu, Rais wa ZNZ, Makamu wa Kwanza ZNZ, Makamu wa pili ZNZ wote ni Waislam halafu bado unadai wakiristo wanamiliki 100 %. Huko ndiko kutokuridhika kwenyewe. Kwenye historia ya Nigeria, waislamu wameongoza nchi ile zaidi ya wakristo lakini ni hao hao waislamu ndiyo wanapingana na serikali ya leo.

Tatizo Waislam hawataki kukubali ukweli kuwa sharia za kurani haziwezi kutumika katika kizazi cha karne hii 100 % unless utaweza kuwalazimisha watu imani!!!!
 
Back
Top Bottom