Hilo group au groups, baba yao ni CIA...ambao kwa sasa huwa wanatumia sub contractors e.g black waters, CANVAS ambazo hutafuta locals na kuwapa mafunzo na kuanzisha mbinde sehemu husika.huu ni ukweli
kuna groups ndani ya USA kazi yake ndo hiyo
sio serikali ya Obama....but some groups zipo
Ukitaja CIA, umetaja serikali ya US.