baada ya simu za java na symbian now tujaribuni kutumia vodacom free internet kwa android.
Ch kwanza download operamini apk handler kutoka link hio apo chini
Next Generation Mobile Software
Hio opera ina trick 2 za kupata net bure.
trick ya 1
Tengeneza setting hizi katika simu yako
Unaweza tumia existing access point au ukacreate new access point
Access point name (apn) eka internet
Ip eka 80.239.242.253
Port eka 80
Ukimaliza fungua opera handler yako uliyo download
Shuka chini proxy type eka http na proxy server andika 0.facebook.com
Ur done enjoy free net
trick ya 2
Trick hii ni rahisi tumia access point yako ya kawaida halafu fata maelezo haya
Uta open opera hadler ulodownload
Proxy type eka real host
Proxy server eka 0.facebook.com
Ur done enjoy free net
NOTE: trick ya kwanza ni ngumu kueka ila ina faida unadownload files kubwa (zaid ya mb 100)
Trick ya pili ni rahisi ila utadownload file ndogo kama miziki na short clips mb 5 hivi
Eheh inabidi nicheke maaana maelezo yamekamilikaa, lakini watu still kuelewaaa ni tatizo...
Huu uzi wa mwaka juzi huu mlikuwa wapi nyie watu...???
Acheni uvivu bhana,, kama unatumiaa android unaweza ingia google then uka type
Operamini handler apk
utaletewaa results then utachek kwenye hizoo results,, sasa wandugu ukitaka utafuniwe kilaa kitu mpaka link utafutiweee,,, utakesha kuulizaaa tuu...
Nimetumia utaratibu huo hadi nikaidownload lkn inakataa ku-install. Tatizo ni nini whitedoug3 na Chief-Mkwawa?
wewe unatumia symbian inabidi usidownload file la apk maana kwako halita install tafuta handler za jar
Haifanyi kazi tenaSamahani mkuu, hii trick bado inafanya kazi? nimefuata hatua zote vizuri na imekubali kuinstall, tatizo ni kwamba lain yangu ina kifurushi nimejaribu kutumia hii trick kudownload naona mb zangu zimetumika,
wewe unatumia symbian inabidi usidownload file la apk maana kwako halita install tafuta handler za jar
Natumia android mkuu siyo Symbian.
Guys sasa hivi nimeacha Kufundisha hivi vitu mtanisamehe ila hint tu nawapa badili hio 0.facebook.com iwe free siteya mtandao Wako then itakubali
Krait kwa Symbian tafuta opera handler ya Java itafanya kazi kwenye simu yako
Naomba msaada hapo tu Chief-Mkwawa[/QUOTE
Kama unatumia tigo basi host wako awe ni Facebook, coz Facebook ni free site kwa tigo.. im oouutttt...
Voda nadhani free site wao ni google, am i right #chiefMkwawa