trick jinsi ya kuweza kuingia kwenye account ya admininistrator kwa user wa kawaida

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,001
103
nenda start.click sehemu iliyoandikwa run.na andika neno hili. control userpasswords2
baada ya hapo clik reset na unaweza kuchaguwa password mpya.

kwa wale waingereza

  • Open run
  • Type - control userpasswords2
  • Select the account of which want to change the pass
  • Click reset password and type your new pass and you are done!

DONT FORGET

THANKS MUHIMU OR REP IF POST NI USEFULL
 
THANKS IKO PEMBENI UPANDE WA KUSHOTO,dont forget to click it ,if it is usefull thread
 
utingo cyo lazima awe administrator,hata user wa kawaida anaweza kufanya hivi.thats why i caled this a trick
 
cant you see thanks button pembeni ama?click thanks and not just writting girl
Senkyu is just senkyu usilazimishe sana mkuu kama unataka senkyu za kumwaga andika umbea wa ccm na kuipa tano chadema wapo washabiki wengi sana humu na nina hakika utakula senkyu mpaka utazikimbia hihihihihihih nchi imerogwa hii :glasses-nerdy:
 
Mkuu hii kitu haiwezi kufanya kazi lazima wakuulize old password,Na sio rahisi kuchange tu hivi hivi!
 
nenda start.click sehemu iliyoandikwa run.na andika neno hili. control userpasswords2
baada ya hapo clik reset na unaweza kuchaguwa password mpya.

kwa wale waingereza

  • Open run
  • Type - control userpasswords2
  • Select the account of which want to change the pass
  • Click reset password and type your new pass and you are done!

DONT FORGET

THANKS MUHIMU OR REP IF POST NI USEFULL

Sawa tumekubali. Lakini hii ni aina ya uharamia ambayo si hekima kui-broadcast kwenye public netwoks kama JF. Jifunze ethics kijana. Usifanye vitu kwa kutaka sifa utaumia.
 
sasa baada ya change hiyo pswd haitakuwa na madhara kwa users wengine. let us say it is a organisation/company computer. je sitaweza kufahamika kuwa nimefanya huo umafia a. k. a uharamia?
 
sasa baada ya change hiyo pswd haitakuwa na madhara kwa users wengine. let us say it is a organisation/company computer. je sitaweza kufahamika kuwa nimefanya huo umafia a. k. a uharamia?

Haitojulikana ni nani alyofanya.it will be in dillema.but ukionekana itakuwa mbayaaaaa
 
Brothers do this at your own risk.am not responsible!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sawa tumekubali. Lakini hii ni aina ya uharamia ambayo si hekima kui-broadcast kwenye public netwoks kama jf. Jifunze ethics kijana. Usifanye vitu kwa kutaka sifa utaumia.

powa mkuu.nimekusoma,i will not post anymore of this cracking tricksss
 
nenda start.click sehemu iliyoandikwa run.na andika neno hili. control userpasswords2
baada ya hapo clik reset na unaweza kuchaguwa password mpya.

kwa wale waingereza

  • Open run
  • Type - control userpasswords2
  • Select the account of which want to change the pass
  • Click reset password and type your new pass and you are done!

DONT FORGET

THANKS MUHIMU OR REP IF POST NI USEFULL

Ku-reset noma.....sema jinsi gani utaipata hiyo password ili uingie kwa kujidai!
 
Haitojulikana ni nani alyofanya.it will be in dillema.but ukionekana itakuwa mbayaaaaa
Itakuwa vipi system ikashindwa kujua changes za password? yule user alilyelogin system itaendelea ku-auditing kila kitu anafanya, unless ni kampuni za uswahilini na admin hajui anachofanya. Kitu kingine makampuni makini yana disable kabisa hiyo run command + cmd. Siyo tu kudisable inaondolewa kabisa kwenye start menu kwa kutumia GPO. Hii ni area yangu ya kujidai MCITP holder.
 
Back
Top Bottom