Treni yaishiwa wese kama daladala

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Dah eti treni ya abiria toka Mpanda kwenda Tabora iliishiwa mafuta njiani usiku wa manane "Yaani kama daladala"
 
yaani filamu za nchi hii zinashangaza, afu naibu waziri anasema apewe ripoti baada ya wiki 2?
Mie nilidhani ataomba ndani ya siku 2 au 3.

Afu bohari ya serikali wamechakachua wese magari yanazimika.

Afu january ndo msemaji wa sekta hiyo au ni kule kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini?
Why not Ngereja kuongelea hilo?
Wanajaribu kuficha nini.

Yaani hapa kuna bonge la filamu, stering awe densel washngton.
 
Hizi zinaitwa tik tak danganya toto.
Anataka ripoti ni kwann konda hakubeba kidumu
 
hizi sanaa zinachosha huko kweny nishati na madini na kwenye ardhi kuna tiktak za kuudhi nafsi....

Halafu january mie aijaelewa ameongea kwa niaba ya tanesco akiwa kama nani.....uwenyekiti wa kamati una mamlaka gani ya kuongea as if yeye ndo MD wa Tanesco??????

yaani filamu za nchi hii zinashangaza, afu naibu waziri anasema apewe ripoti baada ya wiki 2?
Mie nilidhani ataomba ndani ya siku 2 au 3.

Afu bohari ya serikali wamechakachua wese magari yanazimika.

Afu january ndo msemaji wa sekta hiyo au ni kule kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini?
Why not Ngereja kuongelea hilo?
Wanajaribu kuficha nini.

Yaani hapa kuna bonge la filamu, stering awe densel washngton.
 
leteni habari laini wakuu,hizi ishu za tz zimeshatuumiza kichwa sana.
 
mie sijui nani kampa kiburi kikubwa hivi huyi bwana mdogo.

Anaonekana ndo anaendesha wizara ya madini.
Halafu january mie aijaelewa ameongea kwa niaba ya tanesco akiwa kama nani.....uwenyekiti wa kamati una mamlaka gani ya kuongea as if yeye ndo MD wa Tanesco??????
 
mie sijui nani kampa kiburi kikubwa hivi huyi bwana mdogo.

Anaonekana ndo anaendesha wizara ya madini.
Si unajua this counctry never fail to amaze me asee, you will never know who is who
 
Nilistaajabu sana....treni ati imeshiwa mafuta tena ikiwa kati kati ya msitu na ni saa nane usiku.....bwahahahahahaha only in tizoo......

alafu yule boss wa ewura anasema mafuta yakikaribia kuisha yanakuwa na maji...anatetea sheli kuuza mafuta yenye maji.....mazafaka kabisa mijitu mingine inakera sana.....pumbaaaaaafu....kwa hiyo ni jambo la kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom