Treni ya Mkaa EAR

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Enzi zetu na travel warranty kwenda shule

EAR.jpg
 
Duh !
Umenikumbusha mbali sana mkuu,hivi ile treni ya moshi bado ipo ? Sijafika cku nyingi huko mkuu
 
Nakumbuka enzi za radio moja, chama kimoja, usafiri mmoja wacha tu, enzi hizo tulikua tunakula pipi bila maganda mpo hapoo!!
 
jordan mbali kaka! chai ya nazi kwake kabsaaa....natoka oga maji yalo ungwa....ushawahi weye?

kUMBE KULE WAJA LEO WARUDI LEO!MKUU UKO HATARI SANA NASIKIA HUKO UKIINGIA UTOKI TENA!UNAKOGESHWA MAJI YALIWEKWA IRIKI HUKU KORODANI ZIKIWA NDANI YA KISOSI CHA CHAI!INATISHA!!
 
kumbe kule waja leo warudi leo!mkuu uko hatari sana nasikia huko ukiingia utoki tena!unakogeshwa maji yaliwekwa iriki huku korodani zikiwa ndani ya kisosi cha chai!inatisha!!

cha kutisha nini hapo weye? Usha fungwa mgongoni ka mtoto weye? Huku nilikuja na kiji mtaji changu cha nazi nikakosa hata nauli ya kurudi kwetu mwanza
 
Tulizipanda hizo sana. Enzi hizo train yenye engine hiyo ya abiria ilikuwa inaitwa 'mail train', na nyingine yenye engine ndogo ilikuwa inaitwa 'sentikaa'. Nakumbuka tulikuwa tunamkwepa TTE (ticket examiner) maana mara nyingi tulikuwa tunatumia ticket zilizo expire!
 
Kaka...huyu TRAVEL TICKET EXAMINER(TTE)...alikuwa balaa
 
Back
Top Bottom