Trekta linauzwa!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Massey - Ferguson 595 90HP 2WD

Liliingizwa nchini Dec 2009

Liko katika hali nzuri na limefanya kazi; Iringa; Dodoma na Ruvu!

Ni pm kwa anayehitaji


MODS : nimeshindwa kuattach picha


Naomba MODS mnipm niweke pich hapa kwa ajili ya wadau! 306103_416735705009028_100000178064990_1866480_1687192529_n.jpg
 
Nisameheni wakuu nilisafiri kdg na sikuapata wasaa wakufika hapa tena

Update:

Treakta hizo ziko 2 na ni model ya 1992

bei ni Tshs 18.5 each mazungumzo yapo.............na haziuzwi na jembe ila ukihitaji jembe ...........tutafanya mazungumzo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom