Treated pine timbers for sale (mbao zenye dawa)

Kottler Masoko

Senior Member
May 28, 2010
193
28
Good quality and Machine treated Pine Wood(timbers) available in BULK at affordable prices.
Useful for all types of construction use.
Call me on 0655736765 to order,or pm me for quotation.

MBAO ZENYE DAWA KWA KUJENGEA.

2x6.jpg
 
Mkuu jina la kottler na utangazaji wako wa biashara haviendani! kama ulivyoweka size za mbao, ungetuwekea na bei zake watu wakajua wakipiga simu haitokuwa upotevu wa vocha.
 
Ahsante kaka kwa kuliona hilo.
We text na me nitakupigia,Usiogope!!

NB:NAFAHAMU USIYOYAFAHAMU NA SIYAFAHAMU UNAYOYAFAHAMU,SO NAJUA NIFANYALO HAPA.
 
Ungeweka bei ungepunguza usumbufu wa mtu kukutafuta hewani mara kwa mara
 
Watu kama hawa wanaoogopa kuweka bei mara nyingi huwa si reliable! Na wanaweza hata kukutapeli, kwanini uogope kuweka bei kama unajiamini biashara yako ni genuine?
 
Nashukuru Mdau kwa mchango wako.
Mimi nina uhakika kwamba mnunuzi hua anaanza kwa kutafuta taarifa(information searching) pindi anapokua na uhitaji wa huduma ama bidhaa flani.
Mbao zetu zina ubora unaotumika Tanesco na Makampuni Makubwa ya Ujenzi nchi nzima pia tuna identity ya National Tenderer, Isitoshe pia tunalipa Mishahara, Pension contribution,VAT na Kodi Nyenginezo,so hakuna UTAPELI hapa!
Shukrani kwa mdau wa jf GTesha kwa kuniPM na tayari tumeshazungunza nae na tumejua mahitaji yake (BUYER'S NEEDS) TUNASUBIRI tu purchase decision toka kwake.
NB: MBAO HAZIUZWI KAMA MASHATI YA PALE MANZESE,TUNATUMIA VIPIMO(RUN METERS) KUPATA BEI. MATAPELI NDO WANAUZA KWA FIXED PRICE.
 
Kama kweli biashara yako ni kubwa hivyo basi nawashauri mtafute competent marketing manager/ officer ili asaidie kuweka mambo sawa! Hivi wewe unadhali online marketing ni kitu kinachofanywa kienyeji kumshawishi mtu ambaye humuoni na huongei naye

Sawa Dad,najua unaongelea advertising ambayo ni just one of marktng comm tools ambayo ni paid, we are sales oriented coy so tunatumia unpaid tools such as personal selling (soft selling efforts) na hiyo ni kulingana na nature ya biashara yetu,tunao permanent wateja,so hapa Jf ni pa kufanyia prospecting tu na si pahala pa kuuzia mzee.
Wazo lako zuri ila kama na wewe ni COMPETENT MARKETER nirushie CV yako nikupe kazi.
 
Ha ha ha asante kwa kupokea ushauri wangu! Kwa bahati mbaya sina mpango wa kuajiriwa na mtu. Ninaamini sana kwenye kufanya shughuli zangu binafsi. Nilitumika kipindi fulani baada ya kumaliza Uni kwa muda wa four years, then nikaona hakuna nafanya zaidi ya kumtengenezea mwingine maisha.

Back
Top Bottom