Livale
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 739
- 588
Some double standards at their best. Very few Tanzanians here comment frankly and objectively, with many Kenyans to be fair also joining the band.Huu unafiki wa Wabongo ndio mimi huwa unaipa shida sana, nyie mkifanya inakua swa, wengine tukijibu mnalialia na kulalamika. Huku kutwa mnaweka mabango ya mapicha ya Turkana ya miaka ilee ya zamani, tukileta mada za mabadiliko yanayoendelea kule maeneo hayo ya Turkana mnabishia na kusisitiza kwamba hamna jipya.
Ieleweke nchi zetu hizi kwa leo zinapiga hatua kubwa sana, tulioyaona kipindi kile sio ya leo. Mwenyewe nimesafiri kwenda Ngorongoro nikitokea Arusha na kupitia Karatu miaka michache imepita. Aisei kuna safu ya hiyo barabara ilikua noma, yaani mbaya kabisa. Hata kusinzia kwenye gari ikawa shida, kama wamerekebisha leo, nawapa hongera.
Hebu angalia baada ya Geza kutupa picha za barabara hio the comments that have been made. Compare that na zile comments katika uzi wa "The changing face of marginalized Kenya", haswa baada ya picha za Lodwar