Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
WanaJF serikali yetu ilijiwekea utaratibu kwamba nafasi za mashirika/mamlaka makubwa kama TRA, TANROADS, SUMATRA, EWURA, n.k zitangazwe ili watu wapatikane kwa ushindani. Tumeona wakurugenzi wa mamlaka nyingine wakipatikana kwa njia ya matangazo (TANESCO, TANROADS) sasa inakuwaje huyu wa TRA apewe tu kwenye sahani ya dhahabu?
Dr. Dau si anaimiliki NSSF sasa TRA ya nini tena? Blandina alishafanya kazi huko TRA siijui record yake. Lakini kwa nini tusipate damu mpya kama ni kupeana kwenye sahani ya dhahabu kuna watu kama akina Dr. Mussa Assad kwa nini nao wasifikiriwe?