TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

JamiiForums

Official JF Response
Nov 9, 2006
6,200
4,984
DAR ES SALAAM: THE Commissioner General for Tanzania Revenue Authority, Harry Kitilya, is about to retire from public service, but his replacement is yet to be confirmed.

Reports say Blandina Nyoni, the Permanent Secretary for the Ministry of Health, has been proposed for appointment, but President Jakaya Kikwete is still hesitant for reasons not yet established, while it is being rumoured that he is likely to consider NSSF boss Dr Ramadhan Dau for the TRA's most lucrative position.

Source: VoxMedia


============
Dec 28, 2013
Mkurugenzi wa TRA, Dr. Kitilya amemaliza mkataba wake wa kazi Disemba 14, 2013 na umri wake wa kustaafu umeshafika.

Nani atamrithi Dr. Kitilya?
 
Kama hizo rumor ni kweli basi i bet for Dau najua karibia ataanza mfungo wa mwezi mtukufu, ni mawazo tu wadau.
 
ina maana possible replacement ni hao watu wawili tuu ..... nchi hii bana
 
  • Thanks
Reactions: 911
Swali dogo la nyongeza: Dr Dau ana umri gani? (hajakaribia kustaafu na yeye?)

Blandina hana uwezo wa kuhimili ofisi hii muhimu. Hata hivyo ningependa ofisi nyeti kama hii mkuu wake awe anathibitishwa na kamati ya bunge (through a public hearing). Katiba mpya!
 
Kwani walitangaza hiyo vacancy?

Kama haakutangaza kwa nini wasifanye hivyo ili kupata the most acceptable candidate?
 
Natamani Kipindi hiki kiwe cha Wazanzibar, Kwani hii Office si ya Muungano ama Vipi? , Nahisi Rais analifikiria hilo pia. Kwanini kila siku ni hao hao tu akina Dau, Blandina kwani wengine hakuna , Hata Wazenj wenye sifa wapo na wanaweza kukamata hii nafasi vile vile.
 
Hii habari imenipa kichaa na kichwa kinauma sasa maana hao wawili uliowataja ni Mafisadi wa hatari sana hawafai tena kushikilia sehemu yoyote nyeti katika nchni hii, Dau sina uhakika asilimia 100 ila Blandina ni Fisadi mkubwa ila 2005 ni miongoni mwa watu waliochangia Kikwete fedha nyingi za rushwa kwa ajili ya kampeni kwa mtindo kama huo wa Jairo.

Nadhani nafasi hiyo ijazwe na mtu aliyekuwa chini ya Kittla pale TRA inatosha hao wote wawili ni kama wana siasa kwa sasa.
 
Kwa akili yako, na wale wenye mawazo potofu kama yako; Dr. Dau hana sifa kwa sababu anaanza mfungo wa Ramadahani! Najaribu ku-imagine kama Bishop Slaa angepata madaraka si mungemshinikiza atangaze kufutiliwa mbali kwa uislamu Tanzania! Thanks Almighty, that curse will never fall on TZ!


Nendeni shule kaka msitake usawa bila shule.
 
Isije kuwa 95% ya waajiliwa wakawa wa makabila hayo wanakotoka hao wawili kama ilivyo sasa.
 
Kitilya Amestaafu!! sasa akaenjoy mabilioni yake sijui visiwa gani Maldives , Cyprus.

Blandina Nyoni ni bomu wakimteua bora afadhali TRA isiwepo na Kamishna. Dr Dau anafaa ila sidhani ni vizuri kumteua CEO wa financial institution kwenda kusimamia kodi zetu mtatengeneza mianya ya ufisadi.

Kwanini Kamishna asitoke hapo hapo TRA kutengeneza ukuta wa kuzuia conflict of interest !!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom