Training ya customs officers tra

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Tarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration.
Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye mambo ya masomo, accomodation, maisha ya kawaida nk kwa kipindi icho cha miezi miwili???
 
Tarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration.Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye mambo ya masomo, accomodation, maisha ya kawaida nk kwa kipindi icho cha miezi miwili???
wewe tafukuru humo au anajishaushau
 
Kalale tu hayo mashauzi tu. wenzio tunatafuta kazi unaleta udada kunuka hapa?
 
Tarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration.
Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye mambo ya masomo, accomodation, maisha ya kawaida nk kwa kipindi icho cha miezi miwili???

First congratulations. I can feel your excitement.
Pili nakupa pole coz it aint easy. Masomo ya tax can be a real bitch na ukicheza tu your ass is out unarudi mtaani. Give it your very best.
Tatu, maisha pale si mabaya. Nice rooms, nice teachers etc. All the best and God bless.
 
Wasikutishe Kaka, apa uivu mwingi. Kwanza najua lazima ufaulu cos walichukua vichwa tu....

Ila utaratibu nasikia mambo shwari, buffet daily, shavu dodo.

Sema sijui Kama chumba ni private au unashea....
 
Wasikutishe Kaka, apa uivu mwingi. Kwanza najua lazima ufaulu cos walichukua vichwa tu....

Ila utaratibu nasikia mambo shwari, buffet daily, shavu dodo.

Sema sijui Kama chumba ni private au unashea....

walichukua vichwa kivip mkuu?cjakuelewa hapo.
 
karibu, mi ndo namalizia kozi yangu hapa ita nimekuwa hapa miaka 2 now, njoo ila uelewe utakachokutana nacho huku kila kitu ni law na hesabu, ila kwa mtu ambaye hakupewa marks chafu mbona unapita tu, by the way waweza kunipm tukatafutana. karibu ita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom