Ni kweli train ya kisasa Dar es Salaam na mikoani kuanza kufanya kazi 2015?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,007
1,893
Nimeona kwenye TV kuna mwekezaji anatuonyesha tena mapicha ya train za kisasa, sana anasema kuanzia mwakani zitaanza kufanya kazi.

Kuna wawekezaji fulani nimewaona wengine wana sura za kihindi (unakumbuka walichotufanya wahindi reli ya kati). Mwenye fununu tuhabarishe.
 
Jamani hivi hii nchi ni ya mazezeta au walevi?? Nakumbuka mwezi wa nane Mh Sita aliutangazia umma kuwa kampuni iliyojenga reli Ethiopia imeshaleta vifaa na ujenzi ungeanza tar 15 sep 2015.
 
nauliza yule mniga alokuja na mbwembwe enzi za Mwakyembe aliishia wapi na treni ya kwenda airport?
 
Nimeona kwenye tv kuna mwekezaji anatuonyesha tena mapicha ya train za kisasa sana anasema kuanzia mwakani zitaanza kufanya kazi. kuna wawekezaji flani nimewaona wengine wana sura za kihindi (unakumbuka walichotufanya wahindi reli ya kati). mwenye fununu tuhabarishe.
hapa kazi tu yafaa kuwa macho kabisa na wawekezaji wa india. inaonekana wengi ni wababaishaji viwango duni na wanaendekeza rushwa.
 
Back
Top Bottom