Trafiki Polisi wa Kichina Kariakoo

Huyu ndio china bwana mutoto ya kariakoo,jamaa ni bonge la comedian kila siku namwambia china unajua una kipaji cha uchekeshaji kinachoweza kukufanya uwe tajiri hapa bongo,anacheka tu,yani jamaa ukikaa nae lazima ucheke,ni mkali kuliko hata wale kina joti wanaochekesha kwa nguvu,china ukimuona tu kabla hajaongea lazima ucheke
 
Kumbe ni comedian! kajitahidi lakini kupunguza jam... lol

hajawa comedian profesional sema tu kwa tunaomjua mtaani kariakoo tunajua ana kipaji sana kuliko hao comedian wengi tulionao bongo,jamaa ni muunguja sema ana sura ya kichina ndio maana kariako nzima anajulikana kama china!
 
Siyo kariakoo tu. Hata Zenj anaitwa hivyo hivyo. China. One Chong.
 
Back
Top Bottom