Trafiki polisi wa kichina Kariakoo

Nina wasiwasi na watu walioidaka hii thread na kuanza kuchangia kwa maana ya kujitahidi ku-neutralize hoja!!! Suala hapa sio ni mchina wa wapi, suala ni je kwa nini huyo mtu (awe mchina wa kariakoo, Zanzibar au China) afanye kazi ya trafik police? Trafiki Police wa serikali ya magamba wako wapi?

Tiba
 
Nadhani una matatizo ya ufahamu, samahani sana kwa kukwambia hivyo. Sijui nikikuuliza na askari kivuli wa magwanda wako wapi utajibu nini? wao si ndio wanatakiwa wawepo wakati askari wa magamba hawapo? Halafu kumbuka kuwa hawa askari wapo kwa watanzania wote na si kwa ajili ya chama fulani.

Halafu ili kukupa darsa dogo, napenda ufahamu kuwa kuna watu wanaopenda kujitolea katika kila panapokuwa na shida, na pia kuna watu wengi huwa hawangoji kulalamika na kulalama kila dakika , huwa wanapenda kufanya inapobidi wafanye. Hawa huitwa "volunteers", "vigilantes", raia wema, wasamaria wema na kadhalika.

Nnahisi wewe hata "boy scout" hujapitia. Sisi tuliopitia "girl guide" tunajuwa ni nini maana ya kujituma na kutoa msaada kila utapohitajika bila ya kuombwa au kuulizwa.

Nakuuliza, ukikuta ajali na wewe una gari na unaweza kuwapeleka walioumia hospitali utasema kuwa mimi sio "ambulance"? watu kama wewe nna uhakika huwa hawasemi hivyo, bali husema "ntachafua gari yangu" tena kimoyomoyo na hao, husepa kama vile hawajaona halafu wakifika mbele watalalama na kuanza kuhadithia na kuponda kuwa hata magari ya wagomjwa hakuna.

Kuwa binaadam japo kidogo.

Huyo hata kama si mtanzania anachokifanya kinasthili kila sifa na pongezi za dhati kabisa. Unanshangaza!
 
Nina wasiwasi na watu walioidaka hii thread na kuanza kuchangia kwa maana ya kujitahidi ku-neutralize hoja!!! Suala hapa sio ni mchina wa wapi, suala ni je kwa nini huyo mtu (awe mchina wa kariakoo, Zanzibar au China) afanye kazi ya trafik police? Trafiki Police wa serikali ya magamba wako wapi?Tiba
Mkuu, inawezekana wewe ndio umedaka hii thread! Muanzisha thread kaandika 'Trafiki polisi wa Kichina Kariakoo' members ndio wanachangia wanasema huyo sio mchina Mtanzania visiwani hiyo ndio Topic
 
Nadhani una matatizo ya ufahamu, samahani sana kwa kukwambia hivyo. Sijui nikikuuliza na askari kivuli wa magwanda wako wapi utajibu nini? wao si ndio wanatakiwa wawepo wakati askari wa magamba hawapo? Halafu kumbuka kuwa hawa askari wapo kwa watanzania wote na si kwa ajili ya chama fulani. Halafu ili kukupa darsa dogo, napenda ufahamu kuwa kuna watu wanaopenda kujitolea katika kila panapokuwa na shida, na pia kuna watu wengi huwa hawangoji kulalamika na kulalama kila dakika , huwa wanapenda kufanya inapobidi wafanye. Hawa huitwa "volunteers", "vigilantes", raia wema, wasamaria wema na kadhalika. Nnahisi wewe hata "boy scout" hujapitia. Sisi tuliopitia "girl guide" tunajuwa ni nini maana ya kujituma na kutoa msaada kila utapohitajika bila ya kuombwa au kuulizwa. Nakuuliza, ukikuta ajali na wewe una gari na unaweza kuwapeleka walioumia hospitali utasema kuwa mimi sio "ambulance"? watu kama wewe nna uhakika huwa hawasemi hivyo, bali husema "ntachafua gari yangu" tena kimoyomoyo na hao, husepa kama vile hawajaona halafu wakifika mbele watalalama na kuanza kuhadithia na kuponda kuwa hata magari ya wagomjwa hakuna. Kuwa binaadam japo kidogo. Huyo hata kama si mtanzania anachokifanya kinasthili kila sifa na pongezi za dhati kabisa. Unanshangaza!
Foxy acha kupotosha mada na kushambulia watu kwa maslahi yako ya kujuana kwako na huyo mchina! Ukilinganisha dharura ya ajali na swala la foleni utakua sio tu una matatizo ya kuelewa bali pia ni mgonjwa wa akili. Acha watu wajadili tatizo sugu la foleni, uwajibikaji wa jeshi la polisi na serikali kwa ujumla!
 
FF japokuwa umetumia "bitter" language lakini umesema ukweli hapo.....
Nadhani una matatizo ya ufahamu, samahani sana kwa kukwambia hivyo. Sijui nikikuuliza na askari kivuli wa magwanda wako wapi utajibu nini? wao si ndio wanatakiwa wawepo wakati askari wa magamba hawapo? Halafu kumbuka kuwa hawa askari wapo kwa watanzania wote na si kwa ajili ya chama fulani.

Halafu ili kukupa darsa dogo, napenda ufahamu kuwa kuna watu wanaopenda kujitolea katika kila panapokuwa na shida, na pia kuna watu wengi huwa hawangoji kulalamika na kulalama kila dakika , huwa wanapenda kufanya inapobidi wafanye. Hawa huitwa "volunteers", "vigilantes", raia wema, wasamaria wema na kadhalika.

Nnahisi wewe hata "boy scout" hujapitia. Sisi tuliopitia "girl guide" tunajuwa ni nini maana ya kujituma na kutoa msaada kila utapohitajika bila ya kuombwa au kuulizwa.

Nakuuliza, ukikuta ajali na wewe una gari na unaweza kuwapeleka walioumia hospitali utasema kuwa mimi sio "ambulance"? watu kama wewe nna uhakika huwa hawasemi hivyo, bali husema "ntachafua gari yangu" tena kimoyomoyo na hao, husepa kama vile hawajaona halafu wakifika mbele watalalama na kuanza kuhadithia na kuponda kuwa hata magari ya wagomjwa hakuna.

Kuwa binaadam japo kidogo.

Huyo hata kama si mtanzania anachokifanya kinasthili kila sifa na pongezi za dhati kabisa. Unanshangaza!
 
Foxy acha kupotosha mada na kushambulia watu kwa maslahi yako ya kujuana kwako na huyo mchina! Ukilinganisha dharura ya ajali na swala la foleni utakua sio tu una matatizo ya kuelewa bali pia ni mgonjwa wa akili. Acha watu wajadili tatizo sugu la foleni, uwajibikaji wa jeshi la polisi na serikali kwa ujumla!

Ahsante sana kwa uelewa wako mpana kukupita kiasi, laiti ungejuwa suala la foleni lilivyokuwa na kero na hizo zake ni zipi usingethubutu kusema uyasemayo, sasa nakuuliza swali moja tu:

Wewe (nahisi kuwa umwanamke mwenzangu kama sio utaniambia) umeshikwa na uchungu , mtoto hapandi hashuki na njiani ndio kuna foleni gari haziendi hazirudi, zimekwama kama mtoto alivyokwama, Jee, ni heri angekuwepo huyo mchina anaesaidia au la? kumbuka maisha yako na ya mtoto yapo hatarini. Naomba jibu.
 
Back
Top Bottom