Trafiki huyu nani anamfahamu

Hata aibi hakuna. Duh kweli na hivi umeme umepanda na kila kitu kuwa juu basi hata book watapokea
 
huy atakuwa anaish TEMEKE AMA TANDIKA kwa picha halisi ianavyoonyesha
 
Wapo wengi wenye mchezo huo hasa katika Barabara kati ya Arusha na Babati. Hata 1,000/= wanapokea hawana tofauti na Matonya.

Huyu simfahamu lakini nadhani ukiwauliza viongozi wake wanaowatuma kwa kazi hiyo kila route atajua tu
 
mbona picha ipo wazi tu wanasalimiana alafu nakumbuka trafik alimtuma dereva amnunulie pipi ndo alikuwa anampa
 
hawa ndugu zetu wanatia huruma sana jamani embu fikiria mishahara yao kazi wanazofanya na familia zinawategemea hawawezi kukwepa vitu kama ivi lazima serikali ikae chini kuwafikiria tena hawa traffic.tutaendelea kupiga kelele lakini njaa kitu kibaya sana hamna mwenye njaa akapewa chakula akakataa
 
Back
Top Bottom