Trafick watumwa wengi Moshi....!

im still here buddy,Muombee adui yako aishi siku nyingi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe,hamna haja kabisa afe kabla hajaona baraka ambazo Mungu malizia basi,proudly a chagga,

mamzalendo ...anawachukia wachaga atawaweza au hawajui wachaga huyu...!
 
ngoja nikupe siri unajua chuki yake imeanzia wapi amepoteza muda mwingi kushindana na kuwa kama mchaga akashindwa,siunajua mchaga mchaga 2,hata kukaribia karibia kashindwa,sizitaki mbichi hizi safety last unaikumbuka hii story,
 
kuna kundi kubwa la matrafick wametumwa moshi na barabara kuu chalize segera mpaka himo ,ili kuimaisha usalama wakati akina mangi wanarudi kwao kwa mapumziko na sikukuu za mwisho wa mwaka! Kila kabila likarudi mkoani nafikiri dar itapumua kwa kila kitu.nawatakieni sikukuu njema nami niko likizo.
tunawatakia likizo njema ila mujitahidi kwa wale wachinja wanyama na kunywa damu ni chikizo mbele za mungu.mnakunywa roho za wanyama hao na roho ya ubinadamu mnaipoooza ndani yenu,acheni asilii na kuabudu mizimuuu
 
UNA LAKO JAMBO LEO...cjui VERY YOUNG MONTH???...au sijui Timu Machachari ya Pamba inacheza na Wekundu wa Msimbazi aka LION??? umeNCHEFUA sana leo... Mxxxnnnnnyoooo...
 
tunawatakia likizo njema ila mujitahidi kwa wale wachinja wanyama na kunywa damu ni chikizo mbele za mungu.mnakunywa roho za wanyama hao na roho ya ubinadamu mnaipoooza ndani yenu,acheni asilii na kuabudu mizimuuu

kiingiacho si najisi dada Joyce bali kitokacho.....mizimuu huwa haimpi mtu maono kama wangekuwa wanaiabudu nafikiri wangekuwa wameshachoka siku nyingi.,.!
 
ngoja nikupe siri unajua chuki yake imeanzia wapi amepoteza muda mwingi kushindana na kuwa kama mchaga akashindwa,siunajua mchaga mchaga 2,hata kukaribia karibia kashindwa,sizitaki mbichi hizi safety last unaikumbuka hii story,

naikumbuka sana tu (std 3) israel inachukiwa na mataifa yote hapo middle east lakini wenyewe wanasonga tu...nimejifunza mengi kutoka kwa watu moshi
 
tena nadhani ni Rombo.........

Kama ulijua kuwa natoka Rombo na mimi ni Mrombo.Nadhani nyie wana jf hasa kutoka Rombo kwa maana niliposema kuwa nachukia wachagga ni hawa wanavunjo yaani mwakilishi wao bungeni ni Lyatonga,makabila mengine yote kama vile wamachame,wakibosho, waoldmoshina na warombo hawa sina tatizo nao kwa maana kiuhalisia hawa si wachagga.
 
Acha kuota wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom