Trafic asimulia boss wake alivyokutana na mungu akiendesha gari

luanga

Member
Dec 18, 2011
18
3
Katika nchi ya Italia ambapo yapo pia makao makuu ya VATICAN, Papa John Paul II( sasa marehemu) alikuwa akiwahi katika moja ya vikao vya kanisa, akamwamulu dereva wake aendeshe gari kwa kasi ili awahi mkutano, yule dreva kutokana na maadili ya kazi yake alimkatalia Papa John Paul wa II, Papa akakasirika sana akaamuru dereva akae pembeni naye akaendesha lile gari kwa kasi zaidi, mara akasimamishwa na askari wa barabarani kwa mwendo wa kasi, aliposimamisha gari akagundua ni Papa na pembeni amekaa yule dereva, basi akawaruhusu waondoke haraka sana, maana alitegemea Papa angekuwa anayendeshwa, sasa huyu anayendeshwa na Papa bila shaka atakuwa ni MUNGU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom