U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 Dec 20, 2011 #1 nimepanda gari kuelekea nyumbani shinyanga, wanachukua rushwa waziwazi.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Dec 20, 2011 #2 pole sana ndivyo yalivyo hayo hata usiumize kichwa..