Traffic police arusha.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Ni habari ya uhakika kabisa ambayo nimeifanyia uchunguzi wa kutosha. Wakiingia kazini hawa askari wanapewa jukumu la kila mmoa hataruhusiwa kuondoka alipopangiwa hadi akamate magari 20 ambayo yatalipa notification ya 30,000 each! Tunapelekwa wapi?
 
Vitabu vitakuwa fake malipo yanaingia matumboni mwao, otherwise hata wao hawana wanachonufaika kama zote zaenda serikalini kweli
 
ndio serikali ya ccm ilivyo

habari za kuaminika ni mpango wa maandalizi ya muda mrefu ya kutunisha mfuko wa kisiri wa uchaguzi ujao na kuwapa posho wapiga saluti. Si unajua wameiishiwa wanatafuta vyanzo mapato?
 
hahaaa nchi hii ina kazi sana ....yaani kila mahali ni wizi wizi wizi
 
Nawaomba mfanye utafiti wa kina kuhusu matrafiki na vyanzo vipya vya mapato visivyo rasmi ambavyo vinaanza abruptly kwenye mkoa wako na ufanye uchunguzi kwa kina kwa wahusika utaunganisha habari ya trafik arusha na mkoa wako. Fichua maovu nakuomba.
 
Hiyo siyo Arusha peke yake.
Ni utaratibu ambao upo kila mkoa. Dar es Salaam huo upo na unaendelea kuwepo.
 
Hiyo siyo Arusha peke yake.
Ni utaratibu ambao upo kila mkoa. Dar es Salaam huo upo na unaendelea kuwepo.

hapa dar es salam hawa askar wanaoitwa tigo wanapewa pikpik ikifika jioni wanapeleka mapato labda wakitoka jumapili ndio mapato wanaingiza mfukoni mwao. ushahid upo
 
usikurupuke wewe..,

Sijakurupuka Inno laka, ni utafiti wa kweli nilioufanya kwa makini na kubali kataa ndivyo ilivyo: hujakamata magari 20 yatakayolipa notification ya 30,000 @ kwa siku hutapata posho/renumeration.
 
Hayo madogo kuna vile viroller vya risit vya EFD machine bei yake sh 2000 ila kuna boss kasema tutumie vilivyochapwa maandishi TRA TRA kwamba havipauki ila wajue thermal paper huweizi kuizuia kupauka na bei ni sh6000 per roll huu ni ufisadi mwingine 4000 inaenda wapi?????
 
Ni kweli kabisa Arusha1 anavyosema, huu utaratibu ni tofauti na wengi wanavyoufahamu.

Kuna utaratibu wa kawaida kama tulivyozoea wengi na watanzania kwa ujumla rushwa ni k2 cha kawaida. Utaratibu huu wa kawaida ni kwamba RTO(Regional Traffic Officer) anakuwa analetewa fungu kwa kila traffic kutegemea na kitengo, kifaa, sehemu aliyopangiwa.
Mfano:
Ukipdwa tochi, ile inayosoma speed ya gari kuna hela lazima ulete jwa RTO jioni wakati wa kufunga kazi hii haihusiani na ofisi halafu ulete ya ofisi kisha ubakiwe na ya kwako wewe traffic police.
Hivyo hivyo atakayepewa pikipiki, gari ya kukimbiza magendo n.k. na utapeleka hela siyo tu kwa RTO, hata kwa RPC, na wengine walio chini ya hao kutegemea uko kitengo gani.
Sasa huu ni utaratibu wa kawaida ktk nchi hii.

Utaratibu mpya wa kitengo cha traffic police pale Arusha ni tofauti/mpya.
Huu utaratibu naweza kuuhusisha na either chama au serikali.
UPO HIVI:
Traffic police anatakiwa apeleke polisi magari 10 yenye makosa kwa mwezi(haijalishi kosa hata kubambikizwa kama ukionekana uko kamili ktk gari lako) ili upigwe faini ya 30,000Tshs.
Wengine wanasema wanatakiwa wapeleke gari 20 per day.

TATIZO:
Trafic police wamekuja kusababisha usumbufu wa hali ya juu ktk mji wa Arusha. Kwa wale wanaoufahamu mji wa arusha(Arusha town) trafic police ni wengi na wanasimamisha gari kila kituo kama unataka kuwahi ofisini/hospital/kuswali au popote ina maana labda upite usiku.
Kona ya technical wanakusimamisha uwe unaenda ngarenaro au umetoka/sakina mianzini wapo, sanawari b4 mataa wanakusimamisha, baada ya mataa wanakusimamisha, philips wanakusimamisha, ngulelo hawa, kwa mrefu hawa, nduruma unapigwa mkono.
Kutoka kituo mpaka kituo haizidi 1.5km ingawa vituo vingi ni less than 1km.

Vituo vyote lazima wakusimamishe ukifanikiwa kupita bila kusimamishwa ni kwamba wako busy kwenye magari waliyoyasimamisha.
Wanamuuliza dereva kila kitu kinachotakiwa kuulizwa, akiona umekamilika anakuchomekea lolote 'wewe nakusimamisha husimami unakimbia' twende kituoni. Anakupeleka.
MAPATO:
Inasemekana kitengo cha trafic police wanakusanya kiasi cha 6-7million per day kwa hapa Arusha mjini.
Cha kujiuliza: huu utaratibu si wa kawaida na je nani kawatuma, hizo hela wanapeleka wapi?
 
Juzi wamenisimamisha Boma wakachukua 5000, pale KIA (less than 5 KMs from BOMa) wakata 20000 nikagoma wakachukua 10000. Kufika King'ori (Pia Less ama equal na 5 KMs from KIA) wakasimamisha nikaona ushenzi nikasepa, kufika KIKATITI (almost 5 KMs from King'ori) wakasimamisha tena nikasepa wakanifuata kwa gari, kufika USA nikawekewa Barrier nikapeleka Gari kituoni wanataka All Charges plus mafuta ya kunikimbiza kama 150,000 nikawaambia sina kama vipi bakini na gari.
Nikaita Taxi nikiwa pale pale, wakaona hiyo Confidence wakaogopa wakanipa gari yangu nikasepa.
Kwao ni kawaida sana na kama wewe ni muoga ukitoka Sakina mpaka ufike Moshi mjini unakuwa umepoteza zaidi ya 150,000 barabarani.

Kama Huamini njoo ujionee na gari yako isiwe na Kile kitambaa (alama) ya CCM ndani uone utatoa bei gani kutoka tu Mianzini mpaka Usa-River.
 
Hiyo siyo Arusha peke yake.
Ni utaratibu ambao upo kila mkoa. Dar es Salaam huo upo na unaendelea kuwepo.

Arusha ni zaidi. Kuna siku nlikuwa natoka Arusha kwenda Moshi nikasimamishwa mara nne!! Triple A, daraja la Nduruma, Kikatiti na KIA. Kila point walikuwa wananikagua vilivyo hadi nikawauliza walikuwa na tatizo gani wakanijibu wako kazini!! Trafiki Arusha wanakera sana hasa kuanzia Sakina hadi USA River. Mara nyingi trafiki ni wale wale kila uchao (nawafahamu kwa sura) wanabadilishana eneo tu ila watakusimasha karibia kila siku! Siku za karibuni nimekuwa kibri kusimama.., LIWALO NA LIWE!
 
Arusha ni zaidi. Kuna siku nlikuwa natoka Arusha kwenda Moshi nikasimamishwa mara nne!! Triple A, daraja la Nduruma, Kikatiti na KIA. Kila point walikuwa wananikagua vilivyo hadi nikawauliza walikuwa na tatizo gani wakanijibu wako kazini!! Trafiki Arusha wanakera sana hasa kuanzia Sakina hadi USA River. Mara nyingi trafiki ni wale wale kila uchao (nawafahamu kwa sura) wanabadilishana eneo tu ila watakusimasha karibia kila siku! Siku za karibuni nimekuwa kibri kusimama.., LIWALO NA LIWE!


mimi nilitokea dodoma mpaka singida hakuna matatizo haya lakini nilipoingia mkoa wa manyara wale trafic balaa kateshi nikasimamishwa,dareda,babati,magugu,tarangire kote huko nasimamishwa na ninaulizwa eti sina stiker ya nenda kwa usalama.mmh jamani stiker yenyewe ths 3000 unaambiwa ulipe elf 20 ni haki hiyo,mi wananikera sana na bado unacheleweshwa safari yako.hivi hakuna namna ya kuachana na usumbufu usio na msingi?
 
Kwa shingo upande................. hebu wawaone Takukure pale tank la maji!

THEY WILL never HELP YOU AND PLEASE NEVER TRY THAT NI SAWA NA KESI YA NGEDERE HAKIMU AWE NYANI....THIS IS ROTTEN COUNTRY TAKE IT OR NOT.
 
THEY THINK HIZO STICKER NDIZO HUENDESHA GARI...twajua tulipo na tulipotoka tusipoangalia hatutajua our future.

wale trafic balaa katesh nikasimamishwa,dareda,babati,magugu,tarangire kote huko nasimamishwa na ninaulizwa eti sina stiker ya nenda kwa
 
Back
Top Bottom