Traffic kupokonya leseni

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Ndugu wana JF, limekua ni suala linalokera sana, unapokutana na traffic, kwanza atajidai kuangalia road licence, insurance nk nk, baadae anakuambia naomba driving licence. Ukishamkabidhi ataanza kutoa vimakosa ali mradi tu umpe rushwa.
Hivi sheria inaruhusu traffic kuchukua driving licence ? kuna mada ilitolewa humu, kuwa traffic anaruhusiwa kuchukua driving licence ila kwa "mujibu wa sheria" huu si ndio mwanya wanaoutumia kuwanyanyasa madereva ? Naomba Elimu kwenye hili.
 
Back
Top Bottom