Kuna tabia katika daladala abiria anaomba kushuka sehemu ambayo hakuna kituo, Konda anamuomba dereva naye anakubali mara nyingi kwa kauli angalia kwanza kama hakuna traffic, sasa hii ni kwasababu ya usalama wa abiria au tunawakomoa traffic? na kwanini abiria aombe kushuka sehemu ambayo siyo kituo? kwanini konda na dereva wanakubali kushusha watu katika sehemu hizo?