Tractor valmet linauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Lina trailer na hallows. Hp 90 limetumika Tz vizuri. Bei 17mil. kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717114409 au 0784225000
 
kitomai,
ninaanza kupata wasiwasi na biashara zako.yafuatayo nimeanza kuyafikiri juu yako:

-huenda wewe ni dalali ambaye hujazoea kazi,na unajiwekea cha juu kwa percenr 200

-huenda wewe unataka kuifilisi kampuni yako KWA FAIDA
 
Kwa nini unamfikiria wmenzako vibaya? ksani hata kama akiwa dalali kuna ubaya? lol
 
Hiyo inaitwa ''freedom of opinion''. maoni yako yanakaribiswa sana. endelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom