Revamp
Member
- Aug 26, 2009
- 8
- 0
Wana JF
Kuna kifaa kipya kimeingizwa hapa nchini kinaitwa TRACK ME T22 ambacho ni mahususi kwa ajili ya ulinzi hasa wa magari.Kulingana na wasambazaji wake kina uwezo wa kutoa taarifa ya ujumbe mfupi kupitia sms.
Sina utaalamu sana,ila kama kuna mtu anaye elewa vema kinavyo fanya kazi tunaomba atupe darasa kidogo.