Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 50
Fungua flash. Go to View > Details . Yatajipanga mafaili na mafolder. Right-click juu ya row ya Name. Utakuta baadhi ya options ziko checked (zimewekewa alama ya vema) kama vile Size, Type, Date Modified etc (PICHA A). Nakushauri uondoe hiyo check kwa zote ubaki na Name tu (PICHA B). Baada ya hapo nenda chini utakuta option ya More... Click hapo kwenye More na utapata PICHA C. Utakapopata hiyo check (weka vema) katika kibox cha Date Accessed, then OK. Mafaili yatajipanga na kuonyesha tarehe yaliyoguswa (accessed). Bosi wako akueleze yeye aliya access lini ili uone file lenye tarehe tofauti na ya bosi wako.
ASSUMPTION: Ninaassume unatumia Windows OS, na pia hakuna aliyeyafaccess mafaili baada ya flash kupatikana kutoka kwa "mwizi" wenu. Hii sio 100% solution, ni yangu tu na wengine pia mnakaribishwa.
Uko deep kaka!!