TRA wanamhujumu Kikwete au Waislamu?

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
WAKUU kuna tatizo kubwa la mtandao wa TRA kwa zaidi ya siku tatu sasa na watu ambao walikua watoe mizigo tokea juzi hadi sasa wamekwama na watalazimika kulipia storage wenyewe na hata kupata hasara kwa mizigo kuchelewa hata ile ya sikukuu ya Eid... Watu wanaokwama kwa sababu hizi wameanza kusema anayehujumiwa ni JK na Waislamu ili washindwe kupanga mambo yao ya siku kuu ya Eid na pia JK aonekana HAFAI..

Nimekuta hilo GUMZO airport cargo, TRA Long room na Bandarini, mwenye data na maelezo atuwekee humu, tatizo hasa nini? ama kuna UFISADI unataka kuchezwa? ama ndio kuna kitu kinataka kupitishwa so wanachezea mitandao? ama waliopewa kazi hawakidhi viwango?

Na
 
Halisi are you serious na hicho nilichobold hapo juu? Hivi kweli of all the people jk naye anahitaji hujuma? Unamhujumu jk ili iweje? All I know wale wote ambao huwa wanahujumiwa ni watenda kazi, wasiotenda kazi hawahitaji hujuma asilani kwani laziness yao tu ni hujuma tosha. Unanichiekesha zaidi unaposema aonekane hafai, OMG lini leo? Hivi anafaa kwa lipi huyo jamani mbona mimi silioni? Get serious halisi matatizo kama hayo yanatokea mara nyingi I doubt kama kuna connection yeyote na hayo uliyoyasema.
 
Back
Top Bottom