TRA wameshaita?

kussy

JF-Expert Member
Jun 15, 2010
400
121
Jamani niliomba nafasi ya kazi TRA mwezi wa sita, kuna mtu ana taarifa kama wameshait? Zilikuwa post za Analysts na Preventive Assistants
 
waongo hao! hawajaita,bt tetesi nilizosikia ni kuwa nafasi wamezicancel coz serikali haijapanga budget yake,kwa ufupi for now serikali haina hela.
 
Wala hawajaita kulushana roho ni kawaida kwa wabongo.Wakiita tutajuzana hapahapa si unajua mmbea haulizwiiiiii?
 
Tra waita kwa chance za wanasheria, nafasi nyingine sina hakika. But wanasheria barua wameshachukuakwa aajili ya enterviews.
 
bado bana huyo anakuzingua tu

...labda katika hali ya Serikali kufilisika hizo ajira labda zitafanyika 2012 baada ya kuwepo na "improvement" katika mikoba ya hazina ambayo sasa hivi inasemekana haina kitu.
 
Back
Top Bottom