TRA wameshaanza usajili wa magari

Le Mutuz 2015 :)...hii itatinga mtaani muda si mrefu ujao. :)

Le Mutuz hana ubavu huo , hela yote ya EPA imeliwa kwenye chaguzi za Magamba!! Toka ile ya Ubunge wa EA mpaka kwenye uchaguzi wa kata ya Magogoni!!Mama wa kambo sasa anatafuta fedha kupitia mgongo wa kamati ya miundombinu ya bunge kwa kuwapigia debe wachina wapate contract za kujenga gati bandarini!!
 
Hivi watu wanafanyaga biashara gani halali za kuwa na hivi Tanzania ya kwetu hii? Mambo haya ndo huwa namkumbukaga sana mzee Kambarage.
 
Acha uongo jamaa hajasema kama anamiliki yanga ila alikuwa ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Moro united
 
IMG-20120712-00304.jpg

pesa zetu za EPA, na mrahaba wa madini yetu, yanawapa kiburi mafisadi hawa. sawa tu, siku zenu zinahesabika
 
Nimefurahishwa sana na mosha , tuko wengi tunakuja . kinachonifurahisha zaidi ni kwamba nasikia jamaa ni form 4. lakini ameweza kweliujasiria mali unalipa
Lazima ulifeli wewe ndo maana unamback up mwenzako kwa kuishia form4.
 
Ntamaholo .....
Piga kazi mtu wangu acha kungojea chini wafuate hukohuko. Utangoja milele. Nnafasi za kumake pesa zipo. Juzi nilikuwa nafanya kautafiti kadogo kariakoo nikagundua watu wanapiga pesa kilaini sanaaaaaa.
Mfano mdogo tu, nilikuta Dozen ya pen inauzwa 4000 ilihalli ukigeuka upande wa pili tu pen 1 kati ya hiyo dozen inauzwa 1500 faida zaidi ya buku kwa kila peni! Wake up men hakuna miujiza.
 
wewe jamaa utakuwa pimbi i think......
kama huwezi arifu piga kimya wenye uwezo wanaweka ma pleti ya mkwanja mrefu.....
Yo Yo mwambie bornagain asiogope kwani akiweka hiyo plate number inamwathiri vipi? unajua haya maisha ni kuishi kama wewe na si kwa hisia ya mtu mwingine. Hata ugumu huu wa maisha tunaolalamika kuna ambao hawapo katika hali mbaya sana ila kwa kuwa vigezo vya mafanikio tumevichakachua unakuta watu wanakuwa wanaishi maisha sio yao (maisha ya kuigiza)
 
Last edited by a moderator:
Ntamaholo .....
Piga kazi mtu wangu acha kungojea chini wafuate hukohuko. Utangoja milele. Nnafasi za kumake pesa zipo. Juzi nilikuwa nafanya kautafiti kadogo kariakoo nikagundua watu wanapiga pesa kilaini sanaaaaaa.
Mfano mdogo tu, nilikuta Dozen ya pen inauzwa 4000 ilihalli ukigeuka upande wa pili tu pen 1 kati ya hiyo dozen inauzwa 1500 faida zaidi ya buku kwa kila peni! Wake up men hakuna miujiza.

Nakupa like mzawahalisi, mie mwenyewe mwezi uliopita nimegundua kijiwe flani wanauza soksi dozen moja kwa shilingi elfu 10 wakati nilikuwa nanunua soksi hizo hizo kwa 2,500. hivyo imenifanya ni-save na miguu kunuka hakuna kwa kuwa hata mvua inyeshe wiki 2 mfululizo nina uhakika wa kubadilisha soksi.
 
Last edited by a moderator:
sina chuki na david mosha....Lamborghini bongo unaendeshea wapi? Analiumiza hilo gari manake linataka walau uendesha 200km/h. bongo bumps kila kona hata raha yake huoni....

Salute mosha kwa ujasiriamali
 
"fedha iliongea hakuna aliyenisogelea, na kila aliye nigasi sikusita kumpa .....?"
 
Uyo jamaa nijirani yangu...
Ila apa uchagani nikama top 10 ivi..
Kunawenye Pesa balaa
 
NIMEONA GARI PLATE NO NI:becky: MUGANYIZI :A S angry: NDIO MAENDELEO HAYO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom