Tra waipa gari ya cuf plate number t201ccm

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,555
2,829
Hili nalo linakaaje jamani? Ni zengwe au just bahati mbaya? Gari MPYA ya chama cha Civic United Front (CUF) imepewa namba inayo ishia na CCM.....the hehe he..
 
Kwa vile idadi ya gari zitakazokuwa T ... CCM itakuwa 999, yawezekana hiyo imetokea tu, na bila shaka CUF walishindwa kusubiri namba za CCM ziishe ndio wasajili gari.

Namba zitakapofikia T ... CUF sijui kama CCM au vyama vingine watategea wasisajili magari!
 
hahahaahhaha, ingekuwa mwaka 2000 wasingekubali ila kwa sasa ....
 
hakuna shaka,hao ni ccm B,angalia mapandikizi yao ubungo na kigoma kaskazini,hiyo plate namba they deserve
 
kazi itakuwa kwa ESCUDO/VITARA gari ambazo ni maarufu KIMARA/MBEZI kwa wachaga.......ambao wakaamua ziwe gari rasmi za chama chao......Nadhani hazitanunuliwa kipindi hiki
 
Back
Top Bottom