TRA vp?!!!

Jasnira

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
608
381
Nimeapply TRA field ya Assistant human resources vp wameshaita tayari mwenye infomation yoyote
 
wakati una-Apply mbona ukuomba taarifa au ulijua ukienda kimyakimya utakuwa considered kimyakimya!!!!
''So far, no any information''
 
Kuna watu wameitwa/wamepigiwa j3 tar.30, kwenda kuanza kufanya kazi. Sijui na wewe ulikuwa batch moja ama laa?
 
zip tena hizo mkuu? ni hiz zilizotangazwa juz juz za siye tuliograduate 2011?
 
Ila mbona juzi tu interview ilifanyika lini?!!

Ukisikiliza watu wa humu unaweza ukadata, cjui inakuaje m2 anakuwa anatoa infos ambazo hana uhakika nazo. Watu walioitwa kazini na ni juzi 2 wamepangiwa vituo baada ya kufanya training kwa wiki 1 ni wale walioapply nafac zilizotokaga july 2011 ambozo ni ass tax officers, ass preventive officers n.k. Kwa nafac hizi za juzi juzi maalum kwa waliograduate 2011 ambazo ni ass customs officers, ass accountants, ass hr officer, it n.k mchakato wake bado hata kushortlist hawajaanza.. Kwa kifupi we tulia 2 cz huwa inachukua muda mrefu kidogo mpk washortlist.. HAKUNA ALIYEITWA KAZINI KWA NAFASI HIZI ZA JANUARY 2012.
 
Patoshik nashkuru sana maana watu kwa kukatisha wenzao moyo kisa wao wameshapata...ila wakumbuke aliye juuu
 
Kama hujui kitu its better unyamaze kuliko kupayuka hovyo...yan kujifanya unajua wakati huna lolote. Kwani ukisema hujui kuna nini?!! Ila kujifanya unajua kila kitu wakati huna lolote...
 
Kuna watu kazi yao kuturusha roho tunaochoma mahindi mtaani! Mshindwe na mlegee kama serikali ya jei kei.
 
Ukisikiliza watu wa humu unaweza ukadata, cjui inakuaje m2 anakuwa anatoa infos ambazo hana uhakika nazo. Watu walioitwa kazini na ni juzi 2 wamepangiwa vituo baada ya kufanya training kwa wiki 1 ni wale walioapply nafac zilizotokaga july 2011 ambozo ni ass tax officers, ass preventive officers n.k. Kwa nafac hizi za juzi juzi maalum kwa waliograduate 2011 ambazo ni ass customs officers, ass accountants, ass hr officer, it n.k mchakato wake bado hata kushortlist hawajaanza.. Kwa kifupi we tulia 2 cz huwa inachukua muda mrefu kidogo mpk washortlist.. HAKUNA ALIYEITWA KAZINI KWA NAFASI HIZI ZA JANUARY 2012.

we ndio uliebaki mkweli hawa wengine humu chai,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom