TRA, TCAA, NHIF, St John, vp washaita watu?

kuweni kama intellectuals basi unaposema tayari kuwa muungwana kwa kutaja sehemu husika iliyotayari sio kujiproud bila mpango wkt jamaa mambo yanazidi kumuwia vigumu na maisha hayaendi anavuta subra kisela anahitaji mahope kama vipi.
 
thanx wote walionijibu swali langu na asante pia waliochangamsha jukwaa and kwa jinsi mlivyokua mnajibishana inaonekana jamaa still wapo xul so karibuni mtaani......
 
Huyo dada nahc analeta chenga, nilipiga cm chuo wakanijibu kuwa wameanza na ma-akautant wengne interview bado.

Wewe chuo ulimpigia simu nani???. Nyie ndio mnaoendekeza undugulization!!. Hebu pateni kazi kwa uwezo wenu, siyo kupigiapigia cmu watu na kuombaomba kwenye cm. Wewe umeshaomba kazi, subiri uitwe kwenye interview. Sasa unapoeleza hapa kuwa ulipiga cm, unataka watu walioomba na hawana mtu wa kumpigia cm waikirie nini???. Ndo maana cku hizi mabinti wengi wanadhalilishwa kutokana na haka katabia.
 
Back
Top Bottom