Dah,
Kwa hiyo wanachukua wangapi?
Hii kazi wiki moja tu unakuwa bilionea kwa jinsi ilivyo kaa kimagendo gendo
Dah, hawa jamaa kwakweli ni balaa..!!, kufanya written Interview walikuwa wanaita majina, only shortlisted people. Kwa wale mamluki hawakupata nafasi ya kuingia. Na wenye GPA kuanzia 3.9 and above ndo waliokuwa shortlisted, kwaajili ya written interview. Ingawa kuna baadhi walikuwa na sifa kama hizo na waliapply lkn hawakuitwa.