Tra releases new formula for calculating customs values for used motor vehicles

Imeniharibia mipango yangu ya kuendesha gari

Jamani mbona sasa kuagiza 4 wheel drive car itakuwa in mbinde? Yaani ushuru wake ni zaidi ya 73% na hapo uwe na bahati kwamba haijazidi miaka 10. Hiyo 73% ni 25+10+20+18. Na hapo kwa kuwa Excise duty, EXa na VAT calculation zake zina base kwenye CIF+Import Duty, then ushuru wa gari unakuwa ni karibu 85-90% ya CIF. Hii ni kutafuta watu waendelee kuwa maskini au kwa kuwa wao wanayo tayari, hawataki na wengine wakawa nayo!!!!

Suala lingine nini definition ya "utility" katika mpango mzima wa kutofautisha magari. Mtu unaweza kuwa umeagiza 4 wheel drive car ili itumike kwa ajili ya kukodisha na biashara. Je hii haipashwi kuingia kwenye kundi la "utility" car?

Naomba ufafanuzi kwa anayejua.

Tiba
 
huu ni mkakati umeandaliwa kupandisha bei magari ya used ili kulinda soko la magari yanayotengenezwa tz yanaitwa nyumbu so jiandaeni kuendesha nyumbu badala ya hiyo mikweche ya jep unapata kitu brdand neew km 00
 
Hayo mafomula ni kwa ajili ya wake zao...sie tunaagiza FORD Explorer cc 4300 ushuru 3.2m TZS gona liko njiani linaweka heshima tu..unakuwa kama hujazaliwa na kuishi mjini bana..hayo mafomula ni kwa ajili ya kumdanganya JK
 
huu ni mkakati umeandaliwa kupandisha bei magari ya used ili kulinda soko la magari yanayotengenezwa tz yanaitwa nyumbu so jiandaeni kuendesha nyumbu badala ya hiyo mikweche ya jep unapata kitu brdand neew km 00

Jamani kwa miundombinu yetu yakikaa ma-nyumbu kwenye foleni, si foleni itaanzia kwenye milango ya ofisi? Au walishatengeneza nyumbu saloon?*

Kuna kitu ambacho kinanipa ugumu wa kuelewa, hivi kwa nini kodi zote zinapigiwa kwenye gharama ya gari plus import duty? Hii sio kumlima mtu kodi mara mbili mbili jamani?
 
huu ni mkakati umeandaliwa kupandisha bei magari ya used ili kulinda soko la magari yanayotengenezwa tz yanaitwa nyumbu so jiandaeni kuendesha nyumbu badala ya hiyo mikweche ya jep unapata kitu brdand neew km 00

Nyumbu ni gari au mkokoteni wa Kibaha.
 
Serikali ya Tanzania haifanyi jitihada zozote za kupata vyanzo vipya za mapato zaidi ya Wananchi-walalahoi.kila siku tunapandishiwa kodi kwenye beer,soda,sigara uku atusiki kodi zikipanda kwa wachimbaji wa almasi,gold,uranium.
Madini ndio ilibidi yapandishwe kodi kwani yanaenda kutumika njee ya nchi na wala amna mtanzania anayeweza kuvaa diamond au tanzanite.
 
huu ni mkakati umeandaliwa kupandisha bei magari ya used ili kulinda soko la magari yanayotengenezwa tz yanaitwa nyumbu so jiandaeni kuendesha nyumbu badala ya hiyo mikweche ya jep unapata kitu brdand neew km 00

Mkuu hizo nyumbu kwani bado wanatengeneza? Hii inawezekana kama tuna local factory za magari ambazo zina fanya kazi sasa haya mambo ya kuiga bila kujua logic ndio tabu yake hii.
 
kwani hizo nyumbu si ni kwa ajili ya magari ya JWTZ tu au wamejikita na kuzalisha na kusambaza kwetu raia?
 
Hawa watu wasubiri kesi......yaani wanataja kabisa'' Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers'' bila kujua katika suala la ushindani hutakiwi kutaja specific brand katika policies? Wakija NISSAN itakuwaje? au ndio tunalazimishwa kununua TOYOTA tu?
 
Asante mkuu kwa kuliona hilo!!! Hata mimi nilijiuliza kwa nini wametaja kabisa hard top ambayo ni jina linatumiwa na Toyota wakati Nissan Safari ina uwezo wa kubeba abiria 10 pia? Nafikiri hapa walichemsha!!!!!

Mods, kwanini hizi topic mbili zinazohusu suala hili zisiunganishwe kwa urahisi wa kufuatilia comments za watu kwani hizi formula mpya ni pigo kwa walio wengi!!!!

Tiba
 
ni mauaji sio mchezo yaani tunagari tuliagiza, Cresta Roulant 2500 cc ambayo japan bei yake ni yakutupa kama dola 1,800 cif yake hapa ushuru umetoka 6,000,000 TZS, Spacio ya 1999 imetoa ushuru wa 4,700,000 na noah imetoa ushuru milion 7,600,000. zitauzwaje mtaani na tutatoa wapi hela ya kuongezea jamani wenzenu twafaaaaaaaaaa. Kweli nchi limeoza, hicho ki list cha bei chenyewe kama mtoto alikua anafanya project aopate diploma maana kiko shalow balaa, nimeangalia Mitsubishi challenger haipo, landcruiser fj80 haipo, cresta haipo, sijui wanafikiria nini elimu kwa raia hawajatoa wamekurupuka tu, soko la hayo magari hata internet wanaonyesha hawana maana japan bei ziko wazi wangeweza hata kuangalia itandao au auction zinazouza magari wakajua records ya bei za magari, lakini mtu amejifungia ndani anatoka na kituko, mfano carina ya 1999 yenye 1990cc wanasema fob yake ni dola 4,400 hata uende autorec, japanesse, sbt kote huwezi pata gari kwa bei hiyo mara nyingi inakua1,200-2,600 dola na wabongo hatuna uwezo wa hizo za bei kubwa hua tunanunua za 1,200 mpaka 1,700 dola.
Yaani nimatatizo yakuweka mijitu imetoka vijijini na vyeti vya uongo bila exposure ya mambo
 
huu ni mkakati umeandaliwa kupandisha bei magari ya used ili kulinda soko la magari yanayotengenezwa tz yanaitwa nyumbu so jiandaeni kuendesha nyumbu badala ya hiyo mikweche ya jep unapata kitu brdand neew km 00
Kwani hizi nyumbu wanatengeneza tena minazani zimebakia za maonyesho tuu nasiye tuseme tulikuwa twatengeneza magari. Lakini ni wazo zuri kama waweza kutengeneza magari bongo...
 
kwa sababu wabongo hatuna uwezo wa kufanya madai ya kubadili system zinazowekwa na watawala, hata ziwe za uonevu kiasi gani, inabidi tu-lobby kwa wenxzetu wauza magari huko Japan, UK etc, kwa kutumia balozi zao na mashirika yao ya misaada, kuibana serikali kuachana na huu mfumo mpya wa kodi ambao utafanya watz wengi kushindwa kumudu kuagiza magari. tukumbuke hata kwa wao soko la magari yaliyotumika ni muhimu sana kwao kuondoa magari makuu kuu na kutengeneza ajira. sasa kama wanunuzi wanawekewa ugumu hivi, hata hao wauzaji wataathirika zaidi! Wajapan nyie ndo wauzaji wakuu wa magari bongo, tusaidieni kurekebisha mfumo huu onevu wa kodi...manake sisi wenyewe hatuna la kuifanyia serikali ya ccm kwa kila itakacho amua!
 
Back
Top Bottom