TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

nahisi kuchanganyikiwa
hawa jamaa wamenitia kidole big time
kwa kodi sijui kama nitatoboa ina maana nijipange upya
hii nchi hii, hali watu wa migodi wanatanua na tax holiday
hapa itakuwa mwendo wa daladala

Kwa kifupi hii kitu itachangia kuongezeka kwa rushwa mara dufu. Watu watataka kukwepa hizi kodi na vijana wa TRA wasiomjua MUNGU watakuwa mabilionea kwa muda mfupi sana. Kusema kweli hii kitu inakasirisha mpaka basi. Serikali inashindwa kukusanya kodi kwenye maliasili zetu na inaendelea kuwakamua kwa nguvu raia wake. Jamani madini yetu yanachuliwa bure, halafu hawa watu wa makampuni ya madini wanarudishiwa kodi ya mafuta waliyotumia. Hii nchi hatuna viongozi aiseee! Inatia uchungu.
 
kama ni kweli kama mtu hana gari ss vi itakua issue kuagiza gari...tunakwenda wapi jamani!!!
 
Jamani, kuna tofauti yoyote ya kodi kati ya gari lililoingia nchini jipya kwa msamaha wa kodi na ukalinunua after miaka 7 kupita na gari kama hilohilo kuliagiza japan likiwa used? msaada.
 
Haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania tulio ahidiwa. Cha msingi ni kuiondoa serikali hii madarakani vinginevyo tutavuna mabua.
 
nadhani dawa ni kuleta gari vipande vipande (engine, milango na kila kitu peke yake) kisha unaipeleka pale TAbata Dampo kuiunganisha, registration unatafuta vijana wa mjini tu, bila hivyo wenye hela za kuungaunga hatutaendesha
 
Mancity.. nchi yetu huwa haithamini au haisomi makubaliano wanayosaini... they may reverse this decision lakini take it from me, we may face alot of auctions ya used unclaimed vehicles kuanzia august hadi november mwaka huu...

dont import, keep your cash and wait for auctions
 
Mimi nahisi kama watanzania woote mtakuwa kitu kimoja na mkaligomea hilo suala basi si dhani kama litakuepo,ila watanzania ni waoga ndo maana mnanyanyaswa.
 
TRA has recently developed its new method of determining Imported Used Motor vehicle, the new methos is based on the Current Selling Price List (CSRP) and Local market bases for exceptions.

TRA has developed a database which has prices of all MV model when there are manufactured, this price will be reduced to a maximum of 70% for vehicles manufactured 10 years ago, the 30% of the original price when the car was new will be used as FOB for Tax calculation purpose.

For example, Toyota Vitz which is now sold in at FOB of $1,700 was sold $20,000 when manufactured in Japan in 2003, you need to less a depreciation of 60% (2003 depreciation), the current FOB for tax calculation will therefore be $20,000x40%= $8,000. This will be used as an FOB and tax will be calculated thereon as usual. Assuming a rough tax of 30% as import duty, there is an increase of $(8000-1700)x30%= $1,890 of tax from current practice, this is nearly 1,890x1600=3m in Tshs....Amazing huh

This new method will start to operate in July 1 2011, for more details visit Tanzania Revenue Authority - Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List guess they wanna raise more money huh
 
thanks man
tatizo la TRA ni wazee wa rushwa sana,yaani wao wamefanya rushwa kama ndio nyumbani,basi hata hiyo rushwa wanayo kura 10% wangekuwa wanaipeleka serikalini hapana yote ktk matumbo yao,kwa hiyo hata kama wataongeza tax mambo ni yaleyale,kujishibisha matumbo yao kwanza baada ya Taifa kwanza
 
wasiwasi wangu ni je masecretary waliotamani kuwa na hata vitz wawahi kupiga deki kabla bosi hajafika itakuwaje? Au ndo kukuweka kitumbua cha watu kwenye atihati.
 
TRA has recently developed its new method of determining Imported Used Motor vehicle, the new methos is based on the Current Selling Price List (CSRP) and Local market bases for exceptions.

TRA has developed a database which has prices of all MV model when there are manufactured, this price will be reduced to a maximum of 70% for vehicles manufactured 10 years ago, the 30% of the original price when the car was new will be used as FOB for Tax calculation purpose.

For example, Toyota Vitz which is now sold in at FOB of $1,700 was sold $20,000 when manufactured in Japan in 2003, you need to less a depreciation of 60% (2003 depreciation), the current FOB for tax calculation will therefore be $20,000x40%= $8,000. This will be used as an FOB and tax will be calculated thereon as usual. Assuming a rough tax of 30% as import duty, there is an increase of $(8000-1700)x30%= $1,890 of tax from current practice, this is nearly 1,890x1600=3m in Tshs....Amazing huh

This new method will start to operate in July 1 2011, for more details visit Tanzania Revenue Authority - Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List guess they wanna raise more money huh

Duh hii ni noma. Hapa sasa tutawahi kuagiza before that date? kama nahitaji? Jamaa wa kwenye yard bongo nao sasa watapandisha bei
 
Wabunge hawawezi kutetea kwani wao wana magari yasiyo na kodi serikali inawanunulia. Huenda msongamano ukapungua jijini wakianza kupractice huo wizi.
 
TRA has recently developed its new method of determining Imported Used Motor vehicle, the new methos is based on the Current Selling Price List (CSRP) and Local market bases for exceptions.TRA has developed a database which has prices of all MV model when there are manufactured, this price will be reduced to a maximum of 70% for vehicles manufactured 10 years ago, the 30% of the original price when the car was new will be used as FOB for Tax calculation purpose. For example, Toyota Vitz which is now sold in at FOB of $1,700 was sold $20,000 when manufactured in Japan in 2003, you need to less a depreciation of 60% (2003 depreciation), the current FOB for tax calculation will therefore be $20,000x40%= $8,000. This will be used as an FOB and tax will be calculated thereon as usual. Assuming a rough tax of 30% as import duty, there is an increase of $(8000-1700)x30%= $1,890 of tax from current practice, this is nearly 1,890x1600=3m in Tshs....Amazing huhThis new method will start to operate in July 1 2011, for more details visit Tanzania Revenue Authority - Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List guess they wanna raise more money huh
vipi kuhusu wale wa excemption kama walimu?hii system haiwaathiri?
 
Aisee System hii ni mbaya sana naona TRA wanatafuta kila mbinu kupata hela hata ikibidi kuwatoa damu waTZ
 
Back
Top Bottom