Tra na madudu mengine

nashy

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
679
141
Jamani hili lambo limenikera sana tena sijui kama linavumilika miongoni mwa watanzania walio wengi tena maskini kama mimi. jumatatu nilienda pale TRA Temeke kuomba kurenew driving licence yangu, nikaambiwa nikapige picha ili kupata leseni mpya, cha ajabu tangu hiyo jumatatu napanga foleni asubuhi mpaka jioni bila huduma kisa tunaambiwa hawana network. Hivi jamani ni sahihi kwa taasisi kama TRA kukosa network kwa siku tatu? Hizi kazi zao wanafanya vipi? sijui kama kesho hiyo network itakuwepo au laah. Anyway sijui kama Mkulo ana taarifa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom